Mbunge wa Makete Festo Sanga ana tatizo?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,808
218,456
Akizungumza Bungeni Dodoma , Festo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makete kupitia CCM , amedai kwamba , Kwa vile Rais wa Nchi anafanya Maridhiano na vyama vya siasa vya upinzani , basi na vyama hivyo ni bora vikafanya maridhiano yao ya ndani.

Ndugu Festo akaendelea kuchangia bungeni kwamba, Nanukuu, " Haiwezekani chama kikubali ruzuku lakini kiwakatae wabunge wake wanaokipa ruzuku hiyo " mwisho wa kunukuu.

Labda kwa kumbukumbu , na hasa kwa wale wasiomjua huyu kijana ni kwamba Festo Sanga alianzia harakati zake Chadema akiwa mpambe au mshika mafaili wa Mtela Mwampamba, nadhani mnaweza kuelewa maana ya mshika mafaili au mbeba begi wa mtu mdogo kama Mtela, sasa baada ya Akina Mtela na Juliana Shonza kununuliwa na ccm na yeye akajichomeka huko, haijulikani ilikuwaje akawa mbunge wa Makete .

Siku zote tumeandika humu na kwa kurudia tena na tena kwamba Ruzuku za vyama vya siasa hazitokani na idadi ya wabunge wa viti maalum, sasa huyu ni mbunge ambaye hata utaratibu wa nchi haujui , Mtu kama huyu anawezaje kuwakilisha Jimbo?

Ni vema hawa wabunge duni kama huyu Festo wakitaka kujipatia umaarufu kupitia Chadema basi waje na hoja za maana
 
Kama ameweza kukwea kutoka mbeba mafaili hadi Mheshimiwa Mbunge anakuwaje mbumbumbu ndugu Erythrocyte ?? Ni jiniaz huyu 🤣🤣🤣.

Kuhusu hoja yake, namuunga mkono, ni muda muafaka sasa wale akina dada wapokelewe na kupewa ushirikiano na chama chao halali wanachooipenda kwa moyo wote cha CHADEMA.

Mwenyekiti wenu mnamsikiliza na kumtii sana, alimalize hili once and for all, CHAMA kijikite kwenye kugawana majimbo ya 2025 mliyopewa na CCM.
 
Akizungumza Bungeni Dodoma , Festo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makete kupitia CCM , amedai kwamba , Kwa vile Rais wa Nchi anafanya Maridhiano na vyama vya siasa vya upinzani , basi na vyama hivyo ni bora vikafanya maridhiano yao ya ndani .

Ndugu Festo akaendelea kuchangia bungeni kwamba , Nanukuu , " Haiwezekani chama kikubali ruzuku lakini kiwakatae wabunge wake wanaokipa ruzuku hiyo " mwisho wa kunukuu .

Labda kwa kumbukumbu , na hasa kwa wale wasiomjua huyu kijana ni kwamba Festo Sanga alianzia harakati zake Chadema akiwa mpambe au mshika mafaili wa Mtela Mwampamba , nadhani mnaweza kuelewa maana ya mshika mafaili au mbeba begi wa mtu mdogo kama Mtela , sasa baada ya Akina Mtela na Juliana Shonza kununuliwa na ccm na yeye akajichomeka huko , haijulikani ilikuwaje akawa mbunge wa Makete .

Siku zote tumeandika humu na kwa kurudia tena na tena kwamba Ruzuku za vyama vya siasa hazitokani na idadi ya wabunge wa viti maalum , sasa huyu ni mbunge ambaye hata utaratibu wa nchi haujui , Mtu kama huyu anawezaje kuwakilisha Jimbo ?

Ni vema hawa wabunge duni kama huyu Festo wakitaka kujipatia umaarufu kupitia Chadema basi waje na hoja za maana
Ana hoja asikilizwe
 
Ila mwenzio ni Mbunge afu wewe ni Nani na unaingiza Pesa gani??!
 
Amesema Chadema waligomea ruzuku sababu ya kusema bunge si halali! Sasa kwavile wanapokea ruzuku baada ya maridhiano maana yake wamekubali bunge ni halali!

Sasa kwanini wasifanye pia maridhiano na wabunge wao? Kama wameweza kuhalalisha bunge na kuvuta ruzuku shida ipo wapi kwa wale Covid19?

Sanga ana make sense hapa!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa uzoefu wako hapa JF unadhani hiki ulichoandika ni sawa ?
 
Chadema ni sawa na ndege anaitwa chichi dodo, hapendi kinyesi, lakini anapenda funza wanaotokea baada ya kinyesi kuanza kuoza
Yap. Bila shaka hata wewe huwezi kuipenda samadi. Bali utaupenda mchicha uliokuzwa na samadi. The logic is clear. Msosi wa ndege ni wadudu; sio kinyesi.
 
Akizungumza Bungeni Dodoma , Festo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makete kupitia CCM , amedai kwamba , Kwa vile Rais wa Nchi anafanya Maridhiano na vyama vya siasa vya upinzani , basi na vyama hivyo ni bora vikafanya maridhiano yao ya ndani .

Ndugu Festo akaendelea kuchangia bungeni kwamba , Nanukuu , " Haiwezekani chama kikubali ruzuku lakini kiwakatae wabunge wake wanaokipa ruzuku hiyo " mwisho wa kunukuu .

Labda kwa kumbukumbu , na hasa kwa wale wasiomjua huyu kijana ni kwamba Festo Sanga alianzia harakati zake Chadema akiwa mpambe au mshika mafaili wa Mtela Mwampamba , nadhani mnaweza kuelewa maana ya mshika mafaili au mbeba begi wa mtu mdogo kama Mtela , sasa baada ya Akina Mtela na Juliana Shonza kununuliwa na ccm na yeye akajichomeka huko , haijulikani ilikuwaje akawa mbunge wa Makete .

Siku zote tumeandika humu na kwa kurudia tena na tena kwamba Ruzuku za vyama vya siasa hazitokani na idadi ya wabunge wa viti maalum , sasa huyu ni mbunge ambaye hata utaratibu wa nchi haujui , Mtu kama huyu anawezaje kuwakilisha Jimbo ?

Ni vema hawa wabunge duni kama huyu Festo wakitaka kujipatia umaarufu kupitia Chadema basi waje na hoja za maana
Sasa hapo wewe na festo nani mbumbumbu yeye amekwmabia hao wamama wasamehewe

USSR
 
Back
Top Bottom