Dr Mwigullu: Miradi yote ya kimkakati iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya 5 inaendelea kutekelezwa Fedha ipo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,438
142,674
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD amesema miradi yote ya kimkakati iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya 5 inaendelea kutekelezwa Fedha ipo hakuna Mradi uliosimama

Dr Mwigullu PhD aliyasema haya mjini Moshi wiki iliyopita

CCM oyeee!
 
Miradi Iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya 6 iko wapi?
Yaani ukombe mboga na uulize ipo wapi?

Awamu ya 5 ilifyatua miradi mikubwa kama hii nchi haitakuwepo tena na kusahau maendeleo ya watu walidili sana na vitu, awamu ya 6 imeona idili na human capital iajiri,ipandishe mishahara na kupandisha vyeo.

Kuleta miradi juu ya miradi sio kwamba ndo sifa bali ni kudumaza sekta nyingine.
 
Soko jipya Kariakoo linakaribia kukamilika!

Huku historia tukiisoma inasema soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam Tanzania lilijengwa na kumaliza mwaka 1974, na huku mzalendo msanifu majengo Beda Jonathan Amuli akipigiwa chapuo kuwa uzuri wa soko hilo lilipokamilika mwaka 1974 sifa zote zimemuendea huyu mtaalamu hadi leo 2023

Biography of Beda Jonathan Amuli

Beda Jonathan Amuli is a professional architect (Msanifu Majengo in Kiswahili).

He studied at the Israel Institute of Technology where he obtained a
Bachelor Degree in Architecture in 1964. He enjoys the distinction of being the
first indigenous African from then Tanganyika to obtain a degree in Architecture.

Upon completion of his undergraduate studies at the Israel Institute of Technology,
he joined Zevet International Architect and Engineers of Tel Aviv. That
company had just won a tender to design the Kilimanjaro Hotel in Dar es Salaam
(now Kilimanjaro Hotel Kempinski).

ZEVET sent Beda J. Amuli to work in Dar es Salaam both as its Associate Partner and also as its resident architect. He supervised the construction of the Kilimanjaro Hotel Building. All in all, he worked with ZEVET for 5 years before moving on to practice architecture as a sole proprietor under the name of BJAMULI Architects.

As a sole proprietor of BJAMULI ARCHITECTS, Beda Jonathan Amuli major projects include the Kariakoo Market. Straddling along the Nyamwezi,Mkunguni, Swahili, Sikukuu and Tandamti streets, the Kariakoo Market building was built out of reinforced concrete between 1972 and 1974. Beda Jonathan Amuli also designed the Institute of Finance Management (IFM) building and the NBC Training CollegeIringa (now housing the Ruaha University).
 
Awamu ya 5 ilifyatua miradi mikubwa kama hii nchi haitakuwepo tena na kusahau maendeleo ya watu walidili sana na vitu, awamu ya 6 imeona idili na human capital iajiri,

Kwa kifupi awamu ya 5 ilijali maendeleo ya vitu na sasa awamu ya 6 inajikita katika Maendeleo ya Watu ambayo ni sera ya CHADEMA.

TOKA MAKTABA :
January 2023

Mwanza, Tanzania

Mahojiano exclusive/maalum na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Ajenda ya CHADEMA kuanzia sasa 2023 na kuendelea kuelekea mbele Kuhusu Maendeleo ya Watu



Mtangazaji nguli nchini Bw. Dotto Bulendu anafanya mahojiano rasmi na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
...

Kuhusu Maendeleo ya Watu ambayo ni sera ya CHADEMA Mwenyekiti Freeman Mbowe anasema hakuna ujanja Maendeleo ya Watu yapo kwenye sekta ya kilimo, biashara, uvuvi, mifugo na viwanda ambapo CCM imeshindwa anabainisha kwanini na sababu ya CCM pamoja na miaka yote ...

Maendeleo ya Vitu na athari zake kwa mfano hai kabisa Asilimia 95 ya sekta ya ujenzi wa madaraja, barabara na miundo mbinu ya matrilioni ya shilingi tena ktk fedha ngumu ya kigeni wanalipwa makampuni ya nje huku fedha hizo zotezinakwenda China na Uturuki ...... badala ya fedha hizo kuingia ktk mzunguko wa fedha ndani ya Tanzania na katika mifuko na pochi za watanzania .... si ajabu watu wanalia fedha imepotea mtaani na vijijini ..... mwenyekiti Mbowe anafafanua CHADEMA itafanyaje fedha hizo matrilioni ya shilingi zibaki ndani ktk mzunguko utakaofaidisha kampuni za ujenzi na watanzania kuziona zikiingia ktk maisha yao ya kila siku ....
 
Back
Top Bottom