Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Membe pamoja na porojo zote ulizonazo mdomoni za kuchafua aliyekuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania DR.JOHN POMBE MAGUFULI kamwe huwezi kuwa saizi yake katika utendaji wala ushawishi...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu...
16 Reactions
78 Replies
8K Views
CYPRIAN MUSIBA. Huyu mtu ametufefhehesha, kututukana, kututishia akilindwa na Magufuli na kutudhalilisha sana. Sio nyie wawili tuu bali wapenda haki wote Tanzania. Sasa Fatma na mhe.Membe mkaamua...
13 Reactions
32 Replies
3K Views
Ktk kesi ya mbowe ya ugaidi,mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu,mashabiki woote wa chadema waliilalamikia mahakama kwa kutumika kisiasa kukandamiza upinzani,wakasema mahakama za Tanzania ni hovyo...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Wajumbe wa Kamati kuu ya Chadema wakiongozwa na Mh Lema na Mh Wenje hawatasahau ukarimu wa Mseminari Benard Membe aliyewakaribisha Kujikimu kwake Rondo ambako walikula na kunywa na wengine kupata...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Dk. Bashiri Ally, wewe ni Mwalimu wangu wa siasa ya sayansi pale UDSM na ulinipenda sana kwa hoja zangu. Uliwahi kusema darasani, ,"politic is dynamic". Somo hili ulilikuza sana kwetu hata kama...
7 Reactions
45 Replies
7K Views
MBUNGE JANEJELLY NTATE AHOJI KULIPWA POSHO ZA WATENDAJI WA KATA Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amehoji Bungeni kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Jamani hili jambo limekaa kisiasa pia, mm uzi wangu umelenga kuuliza swali je mnufaika wa mkopo ya elimu ya juu anaweza kufanya kazi nje ya nchi na kama ndio vipi kuhusu makato yake au ndo mpk...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Kama NECTA wangepewa kusahihisha posts za JF na kutoa matokeo ya wanaostahili kubaki JF nadhani wangebaki watano tu (mimi nikiwemo) na Melo angelazimika kufunga JF maana asingeweza kutumia...
82 Reactions
204 Replies
11K Views
Maridhiano yaliyofanywa kati ya CCM na CHADEMA, kila mwenye akili timamu alijua mwisho wake Hao wenye akili na macho ya kuona kama kina Lissu, waliuona huo mchezo kwamba, hauna tija wala mwisho...
2 Reactions
60 Replies
3K Views
Tanzania inatajwa kuwa Nchi ya pili duniani kwa utajiri wa vivutio vya utalii ikiwa na hifadhi za Taifa 22, mapori ya akiba 27, mapori tengefu takribani 42 na kilomita za fukwe zisizopungua 1428...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Tangu awali alipoteuliwa nilisema huyu siye, hiyo ilitokana na yeye kujitambulisha ni muumini wa CCM. Hivi sasa tunashuhudia yeye akitoa maoni kuhusu kuwepo au kutokuwepo katiba mpya, yeye ni...
11 Reactions
117 Replies
5K Views
SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIKOSI VYA JESHI: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa (Mb) amesema Wizara inaendelea kutenga fedha kwa...
0 Reactions
0 Replies
528 Views
MWAKA 2022, Familia ya WATU WAZURI HAWAFI ilitumia nguvu kubwa kumdanganya Rais wetu Samia Suluhu Hassan kwenye mambo mengi ili kujitengenezea uhalali wa kukaa kwenye nafasi nyeti za uongozi huku...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Tuangalie makala inayoiangalia University of Dar es Salaam lakini ni hali ktk vyuo vikuu vyote nchini. Source...
1 Reactions
2 Replies
699 Views
Lissu anaendelea na mikutano yake Kama kawaida huku taifa letu likiwa na msiba mzito Sana. Hii ni dharau na kukosa utu kabisa. Hatukutegemea Lissu kufanya jambo la ajabu kama hili. Kweli kabisa...
0 Reactions
15 Replies
975 Views
Ukifuatilia kwa makini mabadiliko ya Tabia nchi yamepiga hodi nchini mwetu. Lakini naona kama chama kilichoko madarakani hakina mkakati mahsusi wa kupambana na matokeo ya mabadiliko ya Tabia nchi...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Halima James Mdee alitoa hoja nzito sana na yenye mashiko kuhusu wizara ya kilimo kugawa ardhi na gharama ya kusafisha ekari kwa ml 16 . Halima Mdee alikuwa anapinga kwamba ghaRama za kusafisha...
17 Reactions
76 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…