Rais Samia awaibua Bodaboda

Rais Samia awaibua Bodaboda

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,192
Chama cha Wamachinga na Shirikisho la Vyama vya Bodaboda na Bajaji mkoani Dar es Salaam (SHIVYAMAPIDA), wametaja maeneo matano wanayomuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ikiwemo kuboresha Bandari ya
Dar es Salaam.

Maeneo mengine ni kujenga nchi kiuchumi kupitia sekta уа uwekezaji, kuondoa zuio la bodaboda kuingia mini na kuwapa vituo, kuondoa tozo zilizokuwa kero kwao na kuimarisha uhusiano wa kimataifa.

Akizungumza jilini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Chama cha Wamachinga Dares Salaam, Namoto Yusuph, alisema Rais Dk. Samia, amefanya mambo makubwa уа kimaendeleo nchini, yakiwa ya kujenga chi kiuchumi katika sekta ya uwekezaji na kuboresha miundombinu mbalimbali.

"Rais Dk.Samia ametuondolea zuio la kuingia mjini na kutupa vituo, katuondolea tozo zilizokuwa kero kwetu, kaimarisha uhusiano wa kimataifa, hivyo tunamuunga mkono katika juhudi za kutuletea maendeleo sisi Watanzania.

"Suala la uwekezaii katika bandari, wamachinga na bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, tunaunga mkono, kwani tunaamini shughuli za bandari zikiboreshwa, biashara zetu zitaimarika na bei za bidhaa zitashuka kutokana na gharama za bandari kushuka," alisema.

Pia, walimwambia Rais Dk.Samia kutokatishwa tamaa na watu wenye nia ovu, wasiolitakia mema taifa, bali walimuomba endelee na jitihada anazozofanya za kumarisha sekta ya miundombinu. Shirikisho hilo, lililaani
vikali lugha za keleli na matusi zinazotolewa na baadhi ya watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni yao, bali waliomba hatua stahiki za kisheria zichukuliwe kwani zinahatarisha
 
Wewe unategemea bodaboda kujua kama mkataba wa bandari ni mbaya au mzuri? Umeona hata maelezo yao? Hakuna mahali popote wanaongelea kifungu chochote cha mkataba. Kwa hiyo hawaelewi chochote kuhusiana na mkataba. Wao wanafikiria tu kuwa watapata abiria wengi zaidi, bila ya kujali abiria huyo atakuwa jambazi, jizi au mtu mwema.

Hawa hawana tofauti na Zembwela au Kitenge, ambao wao walichoangalia pekee, ni wao wanepewa nini, bila ya kujali anayewapa ni mtu mwema au jambazi.
 
Boda×boda kupanda mshikaki + kuingia mijini wao washamaliza
Boda boda akili zao wanazijuwa
Wenyewe

Ova
 
Chama cha Wamachinga na Shirikisho la Vyama vya Bodaboda na Bajaji mkoani Dar es Salaam (SHIVYAMAPIDA), wametaja maeneo matano wanayomuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ikiwemo kuboresha Bandari ya
Dar es Salaam.

Maeneo mengine ni kujenga nchi kiuchumi kupitia sekta уа uwekezaji, kuondoa zuio la bodaboda kuingia mini na kuwapa vituo, kuondoa tozo zilizokuwa kero kwao na kuimarisha uhusiano wa kimataifa.

Akizungumza jilini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Chama cha Wamachinga Dares Salaam, Namoto Yusuph, alisema Rais Dk. Samia, amefanya mambo makubwa уа kimaendeleo nchini, yakiwa ya kujenga chi kiuchumi katika sekta ya uwekezaji na kuboresha miundombinu mbalimbali.

"Rais Dk.Samia ametuondolea zuio la kuingia mjini na kutupa vituo, katuondolea tozo zilizokuwa kero kwetu, kaimarisha uhusiano wa kimataifa, hivyo tunamuunga mkono katika juhudi za kutuletea maendeleo sisi Watanzania.

"Suala la uwekezaii katika bandari, wamachinga na bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, tunaunga mkono, kwani tunaamini shughuli za bandari zikiboreshwa, biashara zetu zitaimarika na bei za bidhaa zitashuka kutokana na gharama za bandari kushuka," alisema.

Pia, walimwambia Rais Dk.Samia kutokatishwa tamaa na watu wenye nia ovu, wasiolitakia mema taifa, bali walimuomba endelee na jitihada anazozofanya za kumarisha sekta ya miundombinu. Shirikisho hilo, lililaani
vikali lugha za keleli na matusi zinazotolewa na baadhi ya watu wanaotumia uhuru wa kutoa maoni yao, bali waliomba hatua stahiki za kisheria zichukuliwe kwani zinahatarisha
Hii inchi huwa inanufaika nini na propaganda za kuwalubuni vijana?baadala ya kupanga mikakati ya kuwafungulia ajili za kudumu, ukitegemea tuna kalibu zaidi ya asilimia 50 ya inchi ni mapori, lakini wajinga wanazungumzia bodaboda?

Hawajui hiyo bandari ni akili za waarabu kwa ajili ya watoto zao kwa miala 100 ijayo,Sasa huyo kiongozi wa bodaboda anajuwa wataendesha bodaboda mpaka wakiwa na miaka 60?
 
Masikini 🤣🤣 hata wanaelewa bas kilichopo ndan ya mkataba yaan wanapuyanga tu masikini bodaboda wetu 🤣🤣🤣🤣!!
=
Najaribu kuwaza kwa sauti

Je somo litaeleweka kweli?​
 
Back
Top Bottom