Ndugulile afurahia ujenzi wa veta Kigamboni

Sep 13, 2016
49
23
Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) leo amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa chuo cha VETA cha Wilaya ya Kigamboni.

Ujenzi huu unaofanyika kwa awamu unatarajia kiwa na majengo 24. Dkt Ndugulile aliishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kujenga chuo hiki katika Wilaya ya Kigamboni.

Katika ziara hii Dkt. Ndugulile aliambatana na Mkurugenzi wa Kanda ya Dar es Salaam Ndugu Angelus Ngonyani.

IMG-20230803-WA0033.jpg

IMG-20230803-WA0032.jpg
 
Back
Top Bottom