Sheikh Ponda aita Waandishi wa habari, Kuongea kuhusu Mali za BAKWATA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,755
218,367
Taarifa iliyosambazwa Nchini Tanzania , inaeleza kwamba Issa Ponda , Sheikh anayetajwa kama mpiganiaji bora wa Mali za Waislam kwenye eneo la Maziwa Makuu , kesho tarehe 02/05/2023 ataongea na Waandishi wa Habari kuhusu mali za Bakwata , ambalo ni Baraza la Waislam la Tanzania .

Mahali ni Kigala Hotel , Buguruni Malapa , kuanzia Saa 4 asubuhi .

Wote mnakaribishwa .
 
Mzee anataka akaliwashe. Huwa siipendi sana ile "Itikadi kali" ya huyu mzee japo huwa namkubali huwa ana hoja.
 
Taarifa iliyosambazwa Nchini Tanzania , inaeleza kwamba Issa Ponda , Sheikh anayetajwa kama mpiganiaji bora wa Mali za Waislam kwenye eneo la Maziwa Makuu , kesho tarehe 02/05/2023 ataongea na Waandishi wa Habari kuhusu mali za Bakwata , ambalo ni Baraza la Waislam la Tanzania .

Mahali ni Kigala Hotel , Buguruni Malapa , kuanzia Saa 4 asubuhi .

Wote mnakaribishwa .
Asubuhi na mapema, atakuwa nyuma ya nondo. BAKWATA ni mali ya mafisadi
 
Back
Top Bottom