Wanaotaka kugombea Ubunge kupitia CHADEMA 2025 wanakaribishwa, wafuate tu utaratibu wa chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
115,223
211,909
Kuna maneno maneno yanazunguka humu JF na kwingineko kutoka kwa Mamluki wanaotumikishwa, kwamba Wagombea Ubunge wa CHADEMA wamejimilikisha majimbo, na kwamba eti wale wagombea wa CHADEMA wa miaka ile iliyopita, ama wale waliokuwa Wabunge basi sasa wasigombee tena ubunge, wawapishe watu wengine.

Hoja hii ya kijinga imeletwa hasa baada ya Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini kutangaza hadharani kwamba atapambana na Tulia Ackson popote atakapokimbilia na atamshinda.

Ufafanuzi wa Jambo hili ni huu hapa; CHADEMA kama chama cha siasa kinao utaratibu wa kisheria wa kupata wagombea wake kwa kupitia kura za maoni, anayeshinda ndiye anayegombea, unless otherwise.

Hii maana yake ni kwamba wanachama wa CHADEMA ndio wanaochagua mtu wa kugombea kwenye jimbo husika, baada ya kuridhika naye na kuwa na uhakika kwamba anakubalika hata kwa wananchi wengine wa jimbo husika.

Kwa mfano, kwenye Jimbo la Kyela kwa mwaka 2020, aliyeshinda kura za maoni aliitwa Alinanuswe Mwalwange, na huyu ndiye aliyekuwa Mgombea wa CHADEMA kwenye jimbo hilo.

Chama cha siasa kilicho makini kinaangalia Mgombea anayeweza kukivusha na kupata ushindi bila kujali amegombea mara ngapi, as long as ana afya njema ya mwili na akili, hoja kwamba huyu amegombea mara nyingi ni hoja ya kijinga.

Ndio maana baada ya Lowassa, Kikwete na Makamba kuwa Wabunge na kustaafu Majimbo yao wakawarithisha watoto wao, ndio maana Abood na Lubeleje walikuwa wagombea wa CCM kwenye majimbo yao kwa miaka nenda rudi.

CHADEMA itaendelea kusimika wagombea wanaokubalika kwenye kila Jimbo bila kujali makelele ya Mamluki.

Mungu ibariki CHADEMA.
 
Hahaaa, hapo viongozi wa kiume wanakenua meno na udenda tele wakisubiri kufanya usaili wa viti maalum.
 
Kuna maneno maneno yanazunguka humu JF na kwingineko kutoka kwa Mamluki wanaotumikishwa , kwamba Wagombea Ubunge wa Chadema Wamejimilikisha majimbo , na kwamba eti wale wagombea wa Chadema wa miaka ile iliyopita , ama wale waliokuwa Wabunge basi sasa wasigombee tena ubunge , wawapishe watu wengine .

Hoja hii ya kijinga imeletwa hasa baada ya Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini kutangaza hadharani kwamba atapambana na Tulia Ackson popote atakapokimbilia na atamshinda .

Ufafanuzi wa Jambo hili ni huu hapa , Chadema kama chama cha siasa kinao utaratibu wa kisheria wa kupata wagombea wake kwa kupitia kura za maoni , anayeshinda ndiye anayegombea , Unless otherwise , hii maana yake ni kwamba Wanachama wa Chadema ndio wanaochagua mtu wa kugombea kwenye jimbo husika , baada ya kuridhika naye na kuwa na uhakika kwamba anakubalika hata kwa wananchi wengine wa jimbo husika , kwa mfano , Kwenye Jimbo la Kyela kwa mwaka 2020 , Aliyeshinda kura za maoni aliitwa ALINANUSWE MWALWANGE , na huyu ndiye aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye jimbo hilo

Chama cha siasa kilicho makini kinaangalia Mgombea anayeweza kukivusha na kupata ushindi bila kujali amegombea mara ngapi , as long as ana afya njema ya mwili na akili , hoja kwamba huyu amegombea mara nyingi ni hoja ya kijinga , ndio maana baada ya Lowassa, Kikwete na Makamba kuwa Wabunge na kustaafu Majimbo yao wakawarithisha watoto wao , ndio maana Abood na Lubeleje walikuwa wagombea wa ccm kwenye majimbo yao kwa miaka nenda rudi .

Chadema itaendelea kusimika wagombea wanaokubalika kwenye kila Jimbo bila kujali makelele ya Mamluki .

Mungu ibariki Chadema .

Mathalani jimboni Kyela Mh.Ally Anyigulile Jumbe hana mpinzani.....si wa kutoka CDM wala kokote......

Mbeya Mjini huyo Sugu hata uchaguzi ufanyike muda huu hamshindi mpendwa wa wananchi mh.Tulia Ackson......

Huu ndio ukweli
 
Tume Huru si mchezo bwana mdogo , yale mambo ya kuingiza masanduku yenye kura ndani hayatakuwemo
 
Kuna maneno maneno yanazunguka humu JF na kwingineko kutoka kwa Mamluki wanaotumikishwa , kwamba Wagombea Ubunge wa Chadema Wamejimilikisha majimbo , na kwamba eti wale wagombea wa Chadema wa miaka ile iliyopita , ama wale waliokuwa Wabunge basi sasa wasigombee tena ubunge , wawapishe watu wengine .

Hoja hii ya kijinga imeletwa hasa baada ya Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini kutangaza hadharani kwamba atapambana na Tulia Ackson popote atakapokimbilia na atamshinda .

Ufafanuzi wa Jambo hili ni huu hapa , Chadema kama chama cha siasa kinao utaratibu wa kisheria wa kupata wagombea wake kwa kupitia kura za maoni , anayeshinda ndiye anayegombea , Unless otherwise , hii maana yake ni kwamba Wanachama wa Chadema ndio wanaochagua mtu wa kugombea kwenye jimbo husika , baada ya kuridhika naye na kuwa na uhakika kwamba anakubalika hata kwa wananchi wengine wa jimbo husika , kwa mfano , Kwenye Jimbo la Kyela kwa mwaka 2020 , Aliyeshinda kura za maoni aliitwa ALINANUSWE MWALWANGE , na huyu ndiye aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye jimbo hilo

Chama cha siasa kilicho makini kinaangalia Mgombea anayeweza kukivusha na kupata ushindi bila kujali amegombea mara ngapi , as long as ana afya njema ya mwili na akili , hoja kwamba huyu amegombea mara nyingi ni hoja ya kijinga , ndio maana baada ya Lowassa, Kikwete na Makamba kuwa Wabunge na kustaafu Majimbo yao wakawarithisha watoto wao , ndio maana Abood na Lubeleje walikuwa wagombea wa ccm kwenye majimbo yao kwa miaka nenda rudi .

Chadema itaendelea kusimika wagombea wanaokubalika kwenye kila Jimbo bila kujali makelele ya Mamluki .

Mungu ibariki Chadema .
Mambo ya ndani ya Chadema yenu unatuletea huku JF ili iweje?
Hamna ofisi ya kujadiliana badala ya kuendeleza malumbano mitandaoni!
 
Kwa akili yako unadhani haya nimewaandikia Chadema ?
 
Hongereni CHADEMA kwa hilo lakini pia muwaambie wanachama wenu ukweli kuwa wafuatilie wafuatao wako kwenye majimbo gani ili wasipoteze muda na pesa kushindana na wamiliki wa hayo majimbo;
1. Godbless Lema
2. Sugu
3. Heche
4. Mnyika
5. Msigwa
6. Mbowe
7. Wenje
8. Lissu
Hao wameshapita bila kupingwa. Hakuna wa kuwazuia, katiba ya chama haifuatwi mbele ya hao linapokuja suala la kugombea ubunge. Pia wale wa viti maalum kama sio ndugu, mke, mchumba au mchepuko wa mojawapo ya vigogo wa chama usije ukapoteza muda wako bure.
 
Umeelewa uzi huu ?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom