Kwa mara ya kwanza kabisa nitashiriki katika kongamano la KATIBA MPYA hapa kwa dhumuni maalum lenye kutoa fursa ya mawazo mbadala nje ya rasimu ama ile ilopendekezwa ambayo muda sii mrefu mchakato...
Kiukweli hakuna kitu kimewauma wafuasi wa Hayati Magufuli kama ujio wa Kamala Harris, hawaamini walichokiona.
Haya ni mafanikio makubwa kwa Rais Samia na Wapinzani kuileta Marekani Tanzania na ni...
Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na...
Hili ni jambo ambalo nimejiuliza toka jana. Maana inaonekana Makamba hakumweka Membe kwenye ile list ya watu wema ambao hawatakiwi kufa.
Sasa nawaza ina maana Membe hakuwa na maelewano mazuri na...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amefika nyumbani kwa Bernard Membe ili kuhani Msiba , ambapo ametia saini kwenye Kitabu cha Wageni
Huku akiwa chini ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa...
Wakati tunaomboleza kifo cha Bernad Membe najikuta nawaza bora Musiba angemuomba Membe msamaha na akasamehewa yaishe kuliko ilivo sasa
Kufariki kwa Membe hakumpi nafuu Musiba kuhusu deni zaidi ya...
KUNA Tetesi zinaenea bungeni kuhusu wabunge kutaka kumwajibisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kukithiri kwa vitendo viovu ndani ya Serikali na kama msimamizi mkuu wa SERIKALI hajachukua...
Mimi huwa nimfuatiliaji sana wa Bunge la Kenya na Uganda kwa sababu pia ni Mabunge ya EAC, ila kitu kimoja ambacho sijawahi kutana nacho ni kutembelewa na wananchi wao.
Siku moja nikauliza rafiki...
Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili...
Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe.
Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara...
Katika mkutano wake mkubwa wa hadhara wa Morogoro mjini leo hii, ambao bila shaka umevunja rekodi ya mahudhurio, pamoja na mambo mengine, Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa...
Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG.
Kundi la Hayati...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa Jijini Dodoma leo ameshiriki hafla ya utiaji saini mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya simu katika Kata 763 nchini na miongoni mwa...
Hiyo ndio taarifa ya Dkt. Mchomvu wa Kairuki hospital
Anasema juzi asubuhi Membe alifika hospital hapo kwa ajili ya check up na alikuwa kawaida kabisa anatembea mwenyewe, anaongea na kucheka...
Kama tulivyosema awali, huku tukiomboleza, lakini na mengine muhimu sana nayo yaendelee , Basi ndio hivyo hivyo tunavyofanya.
Huko Makambako mambo ni motomoto, hivi ninavyoandika hapa shughuli...
Siko hapa kubishana na mtu. Na kama wewe ni moja kati ya wale wasioamini Matendo Makuu ya Bwana Mungu, Mungu wa Israeli basi pita kimya kimya tu.
Sitaki kusema mengi ila huu uzi tutaurejea miaka...
Unajiuliza waliwezaje kupokea pesa za Covid-19 na kudai wanazipeleka kwenye kujenga madarasa mengine wanaweka na tiles na ac?
Wanaacha watoto wadogo wanakufa kwa kukosa matibabu na bima...
Ndugu wadau
Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole...
Huyu Ni waziri wa kazi nchini Sweden, moja Kati ya nchi zilizoendelea.
Hapa akiwa katika kituo Cha garimoshi anasubiri gari Moshi arudi nyumbani kutoka kazini kwake.
Amenunua "Baga" Kama chakula...