Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,713
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amefika nyumbani kwa Bernard Membe ili kuhani Msiba , ambapo ametia saini kwenye Kitabu cha Wageni
Huku akiwa chini ya Ulinzi wa Makomandoo , Mbowe amemuelezea Membe kama rafiki ambaye wameshirikiana katika mengi ndani na nje ya Bunge kwa zaidi ya miaka 15 , Mbowe amesema Membe alikuwa mtu mwema na mwenye uthubutu wa kupinga dhuluma na uonevu
View attachment 2620428
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app