benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakatai wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji huduma za mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na watoa huduma za mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete amesema kuwa gharama za bando nchini zitapungua kwa lazima
Rais Samia ameitaka Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kuhakikisha inapeleka umeme katika maeneo yote yanayowekwa minara kwani kwa kufanya hivyo gharama ya kufanya kazi kwa mnara mmoja itapungua kutoka Milioni 1.8 hadi Laki Nne jambo litakalopelekea bando kushuka na amesisitiza kama lisiposhuka basi Serikali itajua namna ya kukamatana na watoa huduma