Sijajua kwanini JK alishindwa kutuletea Katiba mpya, angeacha kumbukumbu isiyofutika!

Kama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora

Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu

Mlale Unono!
ALITAKA MAGUFULI AILETE
 
ALITAKA MAGUFULI AILETE
Matokeo yake Magufuli akaleta michongo hii
1679652251550.jpg
IMG-20230406-WA0001.jpg
JamiiForums-93732544.jpg
img_3_1680413385526.jpg
JamiiForums839866055.jpg
JamiiForums1190257988.jpg
 
Kama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora

Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu

Mlale Unono!
Hii tuliyonayo inasaini kweli? Inaonyesha hujawahi hata kuisoma.
 
Wazee wa CCM walimtisha akaogopa kuhusu suala la muungano, sasa sijui kama bibi yetu atatoboa. Katiba pendekezwa inatamka wazi kuwe na Serikali tatu, moja ya Tanganyika, Nyingine ya Zanzibar then tuwe na Serikali ndogo ya Muungano wa Tanzania ambayo Rais wake ndiye atakuwa amili jeshi Mkuu.
 
Kama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora

Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu

Mlale Unono!
Kwa faida yako nitakuambia leo kwa nini Rasimu ya Katiba ya Warioba ilitupwa. Kulikuwa na kifungu cha Marais kuwajibika kwa makosa yao watakayokuwa wamefanya wakiwa madarakani. Sasa Jakaya aliruhusu na alipokea fedha za Escrow kutoka kwa Harbinder Singh/ Rugemalira.

Wakati huo huo Andrew Change naye akiwa ni mnufaika wa Escrow kutoka kwa Rugemalira. Ndipo akamtonya Jakaya kuwa kama Rasimu ya Warioba itapita basi hicho kifungu cha Marais kuwajibika kwa makosa waliyofanya, basi ajiandaye kushtakiwa na kufungwa.

Ndipo Jakaya Kikwete akaelewa na kuamua kuuvuruga mchakato wa Katiba kwa kuogopa kuja kushtakiwa
 
Kama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora

Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu

Mlale Unono!
Kikwete ni msanii na mpaka uzee huu bado anaendeleza usanii!

Kwa kifupi hakuwa na nia ya kupatikana kwa katiba mpya bali alitaka kuiba fedha za umma kwa njia rasmi!
 
Kama kuna kitu cha kumfanya Rais yoyote akumbukwe Daima basi ni kuwasaidia Wananchi kupata Katiba iliyo Bora

Sanaa nyingine zote zitapita lakini saini yako kwenye Katiba Bora itadumu

Mlale Unono!
We mwenyewe ulikuwa huitaki sasa unaanza kujikosha
 
Alianza vizuri na Tume ya Warioba lakini mbele ya safari akawakuta akina Wassira!
Alianza vizuri saana...tume ilikuwa ya kisomi, ya wazalendo, na wanademokrasia ndio maana ilizunguka nchi nzima kuwasikiliza nini wananchi wanataka....Akaja haribu mwishoni kwa kusimamia maslahi ya tumbo yanayoitwa msimamo wa chama katika mambo kadhaa
 
Wazee wa CCM walimtisha akaogopa kuhusu suala la muungano, sasa sijui kama bibi yetu atatoboa. Katiba pendekezwa inatamka wazi kuwe na Serikali tatu, moja ya Tanganyika, Nyingine ya Zanzibar then tuwe na Serikali ndogo ya Muungano wa Tanzania ambayo Rais wake ndiye atakuwa amili jeshi Mkuu.
Unachanganya katiba pendekezwa ni ile ya wachumia tumbo wachache wa CCM ya muundo wa muungano kama uliopo sasa hivi, rasimu ndio ilikuwa ya muundo wa serikali tatu.
 
Back
Top Bottom