Video: Ni ngumu kuitenga CCM na Vituo vya Radio na TV

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
CCM inapendwa na kila mtu. Watangazaji , waandishi, wasa nii n.k

Angalia hii video nambie nani haimbi?
 
Ukifungua kituo cha redio au TV makaratasi utakayosainishwa kuhusu kuitii serikali sku ukiigeuka CCM hakuna rangi utaacha kuiona
 
Ukifungua kituo cha redio au TV makaratasi utakayosainishwa kuhusu kuitii serikali sku ukiigeuka CCM hakuna rangi utaacha kuiona
Hata Wasafi fm wamemtuma Kitenge na genge lake hadi Dodoma kuwahoji na kuwapa promo Tulia na Msambatavangu wanao kalia kuti kavu
 
Vyama au utawala unaokaa madarakani muda mrefu hasa kwa shuruti, hutengeneza mapenzi ya lazima, na ukionyesha kutowapenda utahujumiwa shughuli zako za kujiingizia kipato, kubambikiwa kesi, na hata kuuwawa. Hivyo hakuna ajabu yoyote kila mtu kuigiza anaipenda CCM hata kama uhalisia hauko hivyo.
 
Hata Wasafi fm wamemtuma Kitenge na genge lake hadi Dodoma kuwahoji na kuwapa promo Tulia na Msambatavangu wanao kalia kuti kavu
Tulia anakalia kuti kavu wapi? Dodoma Bungeni? Why? Wamemnyang'anya kiti chake? Daaah.... Amekosea nini tena?
 
Hivi hapo wanafurahia wimbo au CCM? Tofautisha.
Shauri yako. Utabaki hivyo hivyo. Kama wewe Yanga unaweza ufurahia wimbo wa Simba nitakupongeza sana. Na nitakupatia zawadi ya kukubali kuoa kwenye ukoo wenu mabinti wawili. Kama wapo wazuri.
 
Hawana namna.

Siku tukiwa na Uhuru wa kweli ndiyo utaziona rangi zao halisi, Unafiki ni mwingi sana nchi hii..
 
Hawapendwo vyombp vya Habari Ndiyo vinajiprndekeza/uchawa Ili wapate teuzi.
 
Back
Top Bottom