Ujenzi wa Stigler's Gorge H.E.P

Ujenzi wa Stigler's Gorge H.E.P

pepsin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
3,486
Reaction score
6,172
Serikali ipo mbioni kujenga chanzo kikubwa cha kuzalisha umeme ndani ya Hifadhi ya Seleou.Ni kwamba 1/3 ya eneo lote litatumika.Naunga mkono serikali kujiamulia namna nzuri ya kujiletea maendeleo kwa kutumia rasilimali zake bila kuingiliwa na wazungu.Tanzania ya "viwanda" bila shaka inahitaji umeme zaidi.Hofu yangu ni;

1.Environmental Impact Assessment ilifanyika siku nyingi,1980's.Hatujambiwa kama kuna ecological na economical divergences zilizotokea kwa kipindi hichi kirefu.

2.Tuliaminishwa kuwa ungunduzi wa gasi asilia ungetatua matatizo yote ya umeme nchini na tungeuza ziada nje.Sijui nini kimetokea mpaka tuanze kutaka kutafuta reserve zingine ambazo labda zina athari za ki ecologia na kimazingira.

3.Tuliambiwa nchi ina mkondo wa upepo huko Singida ambao ungeweza kuzalisha umeme mwingi,na kazi ni kuweka tu mitambo ya kubadilisha nishati moja kwenda nyingine.Hatuambiwi huu upepo unaleta faida gani kiasi kwamba tuendelee "kuufuga" bila kuutumia.

4.Jua linawaka sana Tanzania,kwanini hatulitumii kutengenezea umeme mpaka tuharibu vyanzo vyetu vingine vya kiuchumi kwa kujenga hilo Stigler's gorge? Huwa inaniumiza sana kuona backup ya umeme kwenye taasisi nyingi ni majenereta yanayotumia mafuta mengi badala ya kuweka solar pannels.
Naishauri serikali iangalie potentiality ya fursa zote za kuzalisha umeme kabla ya kuanza kuchimba huko Seleou.

Kama umeme wa gesi tulioaminishwa tutauza nje haujatosheleza ndani,je,tuamini wa Stigler's gorge utatosheleza au ni kudanganyana tu!
 
Gass imekabidhiwa kwa wachina ili mtoto apone, usishangae hata huko selou wakizalisha umeme bado kukatokea hitilafu na ukawa hautoshi tukahamia baharini kuhamisha chumvi tuweke mitambo ya umeme, hakuna jema litakalotokea chini ya utawala usio ambilika.
 
Gharama yake ni USD 2 billion!!!

Ni sawa, kama inalipa acha wafanye tuu hiyo project. Na i am sure baada ya miaka 10, hiyo pesa itakuwa imerudi. Huku tukikwepa kulipa 150mils kila siku kwa matapeli.

Yaani hii project ndo ilipaswa kuwa ya kwanza kuangaliwa kabla ya project ya bomba la gesi ambalo limegharimu karibu trilion 2.5 na manufaa yake hayaonekani moja kwa moja.
 
Wakati mzungu akijenga viwanda hakujali mazingira sasa hivi mbongo kutaka japo umeme tu...utaambiwa mazingira.
Wee jingalao wakati wazungu wanajenga viwanda vyao elimu ya mazingira ilikuwa ndogo sana (infancy stage)! Sasa elimu imekuwa na athari zake zinatabirika kwa hiyo kuitumia elimu hii ni wakati muafaka!!
 
Ni sawa, kama inalipa acha wafanye tuu hiyo project. Na i am sure baada ya miaka 10, hiyo pesa itakuwa imerudi. Huku tukikwepa kulipa 150mils kila siku kwa matapeli.

Yaani hii project ndo ilipaswa kuwa ya kwanza kuangaliwa kabla ya project ya bomba la gesi ambalo limegharimu karibu trilion 2.5 na manufaa yake hayaonekani moja kwa moja.
Elimu hii wale wa Lumumba wanayo?!
 
Serikali ipo mbioni kujenga chanzo kikubwa cha kuzalisha umeme ndani ya Hifadhi ya Seleou.Ni kwamba 1/3 ya eneo lote litatumika.Naunga mkono serikali kujiamulia namna nzuri ya kujiletea maendeleo kwa kutumia rasilimali zake bila kuingiliwa na wazungu.Tanzania ya "viwanda" bila shaka inahitaji umeme zaidi.Hofu yangu ni;

1.Environmental Impact Assessment ilifanyika siku nyingi,1980's.Hatujambiwa kama kuna ecological na economical divergences zilizotokea kwa kipindi hichi kirefu.

2.Tuliaminishwa kuwa ungunduzi wa gasi asilia ungetatua matatizo yote ya umeme nchini na tungeuza ziada nje.Sijui nini kimetokea mpaka tuanze kutaka kutafuta reserve zingine ambazo labda zina athari za ki ecologia na kimazingira.

3.Tuliambiwa nchi ina mkondo wa upepo huko Singida ambao ungeweza kuzalisha umeme mwingi,na kazi ni kuweka tu mitambo ya kubadilisha nishati moja kwenda nyingine.Hatuambiwi huu upepo unaleta faida gani kiasi kwamba tuendelee "kuufuga" bila kuutumia.

4.Jua linawaka sana Tanzania,kwanini hatulitumii kutengenezea umeme mpaka tuharibu vyanzo vyetu vingine vya kiuchumi kwa kujenga hilo Stigler's gorge? Huwa inaniumiza sana kuona backup ya umeme kwenye taasisi nyingi ni majenereta yanayotumia mafuta mengi badala ya kuweka solar pannels.
Naishauri serikali iangalie potentiality ya fursa zote za kuzalisha umeme kabla ya kuanza kuchimba huko Seleou.

Kama umeme wa gesi tulioaminishwa tutauza nje haujatosheleza ndani,je,tuamini wa Stigler's gorge utatosheleza au ni kudanganyana tu!
Tumngoje Lowasa atasimamisha miradi kama hii atakapokuwa rais.
 
Ni sawa, kama inalipa acha wafanye tuu hiyo project. Na i am sure baada ya miaka 10, hiyo pesa itakuwa imerudi. Huku tukikwepa kulipa 150mils kila siku kwa matapeli.

Yaani hii project ndo ilipaswa kuwa ya kwanza kuangaliwa kabla ya project ya bomba la gesi ambalo limegharimu karibu trilion 2.5 na manufaa yake hayaonekani moja kwa moja.
Tangu zamani WB ilikuwa inazuia uwekezaji kwenye hep na tanesco kuzalisha umeme moja kwa moja badala yake ikishauri umeme kuzalishwa na matapeli. Ndio godfather wa pan africa energy, richmond, iptl, aggreko, nk. Ukiwasikiliza hao jamaa nchi inakwisha
 
Ni sawa, kama inalipa acha wafanye tuu hiyo project. Na i am sure baada ya miaka 10, hiyo pesa itakuwa imerudi. Huku tukikwepa kulipa 150mils kila siku kwa matapeli.

Yaani hii project ndo ilipaswa kuwa ya kwanza kuangaliwa kabla ya project ya bomba la gesi ambalo limegharimu karibu trilion 2.5 na manufaa yake hayaonekani moja kwa moja.

Issue hapa ni kwamba hizo pesa tunazo???
 
Back
Top Bottom