Mwanaume Mtanashati duniani kumtunuku Tuzo Rais Samia

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
Taasisi ya Kitanzania ya Miss Jungle International leo Mei 06, 2023 imepokea ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya nchini India iitwayo International Iconic Awards wenye lengo kuu la kuja kutoa tuzo kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan baada ya kukoshwa na mageuzi lulu aliyoyafanya kwenye Utunzaji mazingira dhidi ya mabadiliko ya tabia Nchi na ukuzaji Utalii kupitia filamu yake ya Tanzania Royal Tour.

Mapokezi haya yamefanyika mapema leo Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere ambapo Kampuni ya Miss Jungle International inayojihusisha na Mazingira, Madini na Utalii ikiongozwa na Mkurugenzi wake Samwel Charles Malugu akiambatana na Msemaji Suphian Juma Nkuwi, walimbwende na timu ya itifaki waliupokea ujumbe huo wa Taasisi hiyo ya International iconic Awards ambayo hujihusisha na utoaji tuzo kwa watu na Taasisi mbalimbali duniani zinazofanya vema katika kada tofauti tofauti.

Kwa upande wa Taasisi hiyo ya India imewakilishwa na Mkurugenzi wake
Mohamed Lateef na kijana anayeshikilia taji la Mwanamme Mtanashati duniani "Man of the World" 2022, Bwana Aditya Khurana ambaye pia ni mwigizaji maarufu nchini India ambaye amejizolea umahiri katika uigizaji kupitia filamu mbalimbali ikiwemo "Love and Society" iliyopendwa sana na wapenzi wa filamu za India ulimwenguni.

Aidha makabidhiano ya tuzo hiyo adhimu kwa Rais Dkt Samia yatafanyika wiki hii Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine ujumbe huo kutoka India unatarajiwa kutembelea Bunge Tukufu la Tanzania, pamoja na kushiriki zoezi la upandaji miti Jijini Dodoma kama sehemu ya kuunga Juhudi za Serikali ya Rais Samia za kuhamasisha jamii ya Kitanzania kupanda miti kwa wingi kukabiliana na janga la ukame.

"Tunawaomba viongozi wa Serikali, wananchi na wadau mbalimbali wa Mazingira na Utalii nchini kuungana na Miss Jungle International kuwakarimu wageni hawa kutoka India ili tushawishi umma kutunza mazingira na kutembelea vivutio vyetu Tanzania Bara na Zanzibar ili kutangaza vema Utalii wetu duniani ukizingatia wageni hawa wana wafuasi wengi duniani hususani kwenye mitandao ya kijamii." Alisema Bw. Malugu ambaye ni Mkurugenzi wa Miss Jungle International alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari mapema asubuhi ya leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl Nyerere, Dar es Salaam.

Imetolewa na,
Suphian Juma Nkuwi,
Msemaji - Miss Jungle International
Mei 06, 2023
Dar es Salaam.
IMG-20230506-WA0027.jpg
FB_IMG_1683386210584.jpg
iadityakhurana-20230506-0001.jpg
 
MWANAMME MTANASHATI DUNIANI (MAN OF THE WORLD) KUMTUNUKU TUZO RAIS SAMIA; MAZINGIRA NA UTALII.

Simu: +255717027973View attachment 2612278View attachment 2612279View attachment 2612280
We kweli ndio maana wanakusema punga.
 
Sas

Sasa namba ya simu ya nini kaka au unasubili teuzi🤣🤣🤣
 
Sasa namba ya simu ya nini kaka au unasubili

Mwanaume mtanashati anaenda kupokelewa na miss Tanzania? Kwani Tanzania hakuna mwanamume mtanashati

Au wanafanyaje kumpata mwanamume mtanashati duniani mbona Tanzania hatuna muwakilishi?
 
Back
Top Bottom