Wanachama zaidi wajiondoa Chadema, Kati ya 604 waliotokea CUF wamebaki 2 tu!

Wanachama zaidi wa Chadema waliotokea CUF wamejiondoa kwenye chama hicho

Kati ya Wanachama 604 waliopokelewa kwa Sherehe na mh Mbowe wamebaki 2 tu

Source: Mwananchi
Haina shida ,Sankaya alitaka kuja na masharti yake kwenye dudubwasha kubwa la Chadema
 
Wanachama zaidi wa Chadema waliotokea CUF wamejiondoa kwenye chama hicho

Kati ya Wanachama 604 waliopokelewa kwa Sherehe na mh Mbowe wamebaki 2 tu

Source: Mwananchi
Hayati BABA wa TAIFA Aliwaita "WANASIASA MALAYA" wa Nawashauri WAENDE CCM WATAPEWA UDC na UBUNGE kwani WANATAKA VYEO
 
Back
Top Bottom