Sakata la watuhumiwa wa Ugaidi kuwekwa selo miaka 10, Godbless Lema amuomba Jaji Mkuu aweke wazi gharama za kuendeshea kesi ili wadau wachangie

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,721
218,273
Baada ya Taarifa ya Shehe Ponda kuonekana mitandaoni, ikieleza kwamba kuna mashehe wamewekwa rumande huko Arusha kwa miaka 10 kwa tuhuma za ugaidi, na kwamba hawapelekwi Mahakamani kwa vile Bajeti ya mahakama haitoshi, Msamalia Mwema Godbless Lema ameguswa na amejitokeza hadharani akimuomba Jaji Mkuu aweke wazi kiasi cha pesa za kuendeshea kesi hiyo, ambacho Serikali na Mahakama zimeshindwa kukipata, ili yeye na marafiki zake wachangie kuwezesha Mahabusu hao kupelekwa mahakamani

Bado tunasubiri Jaji Mkuu aweke wazi hela zinazotakiwa ili mchakato huo uendelee .

Kwa niaba ya Wapenda haki wote nachukua nafasi hii kuwapongeza Shehe Ponda na Godbless Lema , mmoja kwa kufichua jambo hili na mwingine kwa kujitolea Pesa za kuendeshea kesi .

Mungu awazidishie , Amina .

==
Pia soma > Mahakama yadai haijashindwa kusikiliza mashauri ya ugaidi
 
Hii sababu sijawahi kuiskia kabla, watuhumiwa kutofikishwa mahakamani kisa gharama za kuendeshea kesi?

Najiuliza hiyo kesi yao itakuwa special kiasi gani tofauti na hizi nyingine, ambazo watuhumiwa hupandishwa kwenye bus la magereza kwa pamoja ili kufikishwa mahakamani wakasikilize kesi zao...

Hao jamaa ni kama walishakamatwa, wakahukumiwa kifungo kimya kimya, kinachofanyika sasa ni sarakasi tu zakukwepesha lawama.
 
Baada ya Taarifa ya Shehe Ponda kuonekana mitandaoni , ikieleza kwamba kuna mashehe wamewekwa rumande huko Arusha kwa miaka 10 kwa tuhuma za ugaidi , na kwamba hawapelekwi Mahakamani kwa vile Bajeti ya mahakama haitoshi , Msamalia Mwema Godbless Lema ameguswa na amejitokeza hadharani akimuomba Jaji Mkuu aweke wazi kiasi cha pesa za kuendeshea kesi hiyo , ambacho Serikali na Mahakama zimeshindwa kukipata , ili yeye na marafiki zake wachangie kuwezesha Mahabusu hao kupelekwa mahakamani .

Bado tunasubiri Jaji Mkuu aweke wazi hela zinazotakiwa ili mchakato huo uendelee .

Kwa niaba ya Wapenda haki wote nachukua nafasi hii kuwapongeza Shehe Ponda na Godbless Lema , mmoja kwa kufichua jambo hili na mwingine kwa kujitolea Pesa za kuendeshea kesi .

Mungu awazidishie , Amina .
Mahakama ilishamjibu huyu mjaa laana kuwa pesa ipo aache kutafuta kiki

USSR
 
Hii sababu sijawahi kuiskia kabla, watuhumiwa kutofikishwa mahakamani kisa gharama za kuendeshea kesi?

Najiuliza hiyo kesi yao itakuwa special kiasi gani tofauti na hizi nyingine, ambazo watuhumiwa hupandishwa kwenye bus la magereza kwa pamoja ili kufikishwa mahakamani wakasikilize kesi zao...

Hao jamaa ni kama walishakamatwa, wakahukumiwa kifungo kimya kimya, kinachofanyika sasa ni sarakasi tu zakukwepesha lawama.
Huenda uko sahihi ila pia inawezekana waliamua kuwaweka ndani mpaka wafe wakijua kuwa ni hatari kwa usalama wa nchi kama watakuwa nje huku ushahidi ukiwa kiduchu sana ,hata ,mbowe kuwekwa ndani muda mrefu ni kukosa ushahidi lakini alionekana hatari kwa usalama wa nchi na serkali changa ya Samia

Shetani hana rafiki , iko siku yatakukuta
 
Baada ya Taarifa ya Shehe Ponda kuonekana mitandaoni, ikieleza kwamba kuna mashehe wamewekwa rumande huko Arusha kwa miaka 10 kwa tuhuma za ugaidi, na kwamba hawapelekwi Mahakamani kwa vile Bajeti ya mahakama haitoshi, Msamalia Mwema Godbless Lema ameguswa na amejitokeza hadharani akimuomba Jaji Mkuu aweke wazi kiasi cha pesa za kuendeshea kesi hiyo, ambacho Serikali na Mahakama zimeshindwa kukipata, ili yeye na marafiki zake wachangie kuwezesha Mahabusu hao kupelekwa mahakamani

Bado tunasubiri Jaji Mkuu aweke wazi hela zinazotakiwa ili mchakato huo uendelee .

Kwa niaba ya Wapenda haki wote nachukua nafasi hii kuwapongeza Shehe Ponda na Godbless Lema , mmoja kwa kufichua jambo hili na mwingine kwa kujitolea Pesa za kuendeshea kesi .

Mungu awazidishie , Amina .

==
Pia soma > Mahakama yadai haijashindwa kusikiliza mashauri ya ugaidi
Kazi kweli kweli miti yote inateleza hajui ashike la boda boda au masheikh!
 
Kuna kitu kinaitwa usalama wa TAIFA watanzania wengi hili jambo hatulijui, hata marekani kuna jamaa walikua wanawaweka huko Guantanamo na ma-black site mbalimbali duniani without trial , kimsingi kwenye swala la USALAMA wa TAIFA mambo mengi ya hovyo yanaweza kufanyika na ndio maana hii sekta inahitaji watu wenye weledi wa hali ya juu sana. Kwa miaka kumi waliyokaa nina mashaka kwamba ni KUONEWA
 
Tatizo la Usalama wa Taifa wa nchi ya Tanzania ni wanakookotwa hao wanaopewa hiyo kazi
 
Kwanza hakuna usalama wa Taifa kwa kuwaonea Raia wa Taifa Husika. Marekani kule Cuba waliwapeleka watu wa mataifa mengine. Huwezi kuwashikilia watu kwa miaka 10 bila kesi kisa unadai kwa faida ya usalama wa Taifa. Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kusema hawa watu ni hatari kwa usalama wa Taifa.
Hakuna ambae marekani ni kwake kuna watu wenye asili ya arabia na raia wa marekani walipigwa ndani kwa mtindo huohuo
 
Back
Top Bottom