Kwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais...
Siasa ni Sayansi! Membe ameanza taratibu kurejesha umaarufu wake kwa kumshughulikia Musiba ambaye alikuwa kipenzi cha Shujaa Magufuli.
Kwa mbali nawaona CHADEMA wanamnyemelea kimtindo kwa...
Wadau Nawasabahi
Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?
Na kwanini liitwe...
Taarifa ya CAG ilionekana kukera viongozi wa juu wa serikali na nilijuwa kuwa hatua kali kwa wabadhilifu hadi sasa wangekuwa hawapo maofisini kumbe kilikuwa kiini macho cha kuonesha chukizo mbele...
Kama ni hivyo, basi ni bora Musiba aombe msamaha kwa Membe. Halijaharibika jambo. Lakini hivi inavyotokea sasa Membe anataka kufanya jambo ambalo haielekei kama litakuwa na faida yoyote kwake...
Mbunge wa Jimbo la Ngara - Kagera Ndaisaba George Ruhoro leo ameuliza swali Bungeni; Lini Bwawa la Kufua Umeme la Rusumo litawashwa ili kupunguza changamoto ya kukatika katika umeme inayotukabili"...
Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa.
Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu...
Kwa mara nyingine tena, Dhalimu baada ya kutenda udhalimu wake badala ya kuukabili uovu wake na kutake responsibility yeye anakimbilia kwa maaskofu ili wamsaidie kubeba udhalimu wake.
Iko hivi...
Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha...
Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba.
Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka.
Musiba...
---
Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa...
Tanzania inatarajia kupata miradi ya hifadhi ya mazingira, mabadiliko ya tabianchi ikiwemo nishati jadidifu yenye thamani ya sh. trilioni 42.4.
Miradi hiyo itasaidia kupunguza changamoto ya...
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya.
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT Wazalendo imekata upepo na Mgombea wao amekimbia kampeni?
Zitto...
MAMBO 10 YA KIPEKEE USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD KAMILIUS MEMBE.
Tunaendelea tulipoishia..
Hii ni "episode" ya tano katika mwendelezo wa "series" yetu juu ya historia na wasifu wa mwanasiasa na...
Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) unafanyika Jijini Arusha, leo Mei 11, 2023 ambao Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika...
Kuna nguvu ilitumika sana kwenye suala la mbolea mwaka jana, nyimbo zilitungwa na sifa ziliimbwa kwa waziri bashe kuhusu mbolea ya ruzuku.
Bashe akasema anataka kumuinua mkulima ndio maana...
Tanzania na Uganda zimekubaliana kuondoa vikwazo. vya biashara ili kuendeleza na kuboresha ushirikiano kati ya mataifa hayo katika nyanja mbalimbali.
Makubaliano hayo yamefikiwa katika mkutano...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho
Amesema uamuzi huo umekuja...
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Halima James Mdee na wenzake 18 wameshalipwa jumla ya tsh 8 Bilioni kwa miaka 3 tu hadi sasa
Lissu amesema " tulifikiri wale wabunge ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.