Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kabla ya Magufuli kuwa Rais Sgr zilizokuwa zimepangwa kujengwa ni ya Dar Hadi Kigoma Kisha Burundi na Tanga-Arusha Hadi Musoma via Moshi. Ila kutokana na tabia yake ya visasi, kutojali na...
20 Reactions
246 Replies
13K Views
Kiwango cha furaha ambacho watu wanahisi ni motisha ya kutosha kwao kufanya kazi kuelekea kulinda na hata kuinua ustawi uliosemwa, wakati huo huo kufichua kwamba kanuni na kazi zao za kiuchumi...
8 Reactions
123 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya kuendelea na mada hii ningependa watu wengi wafahamu kwamba mimi nimeandika mada hii kwa utashi wangu mwenyewe. Sikushawishiwa, sikulazimishwa wala...
7 Reactions
129 Replies
5K Views
Wakati uzinduzi wa Ofisi za Rais Ikulu, Chamwino jijini Dodoma, ukitarajiwa kufanyika Mei 20 Mwaka huu Serikali imesema serikali imesema inajivunia mchango wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, katika...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza nimecheka, na kusikitika Kama mtazamo wa Waziri Bashe juu ya kilimo ni wa aina ile! Basi kuanzia waziri mwenyewe na watendaji wote wa wizara hawaelewi nini wanafanya na hawana taarifa...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Uingozi wa hospitali ya Faraja iliyopo Himo mkoani Moshi umesema Binti Nasra Abdallah aliletwa hospitalini hapo Mei mosi na kijana mmoja akiwa mahututi na wala hakuwa na majeraha wala dalili za...
9 Reactions
216 Replies
22K Views
Uchambuzi wa Bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2023/24 Utangulizi. Jana jumatano tarehe 10 Mei 2022, Waziri wa Maji, Ndugu Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Leo nilikua naangalia Rais wa Uturuki akizindua ndege mpya ya vita yenye teknolojia ya kisasa! Nikajiuliza.. Mbona huku kwetu tunasikia rais anazindua jengo mara kituo cha afya mara mradi wa...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Jeshi la Polisi Dodoma leo hatimaye limemuonyesha Tundu Lissu gari lake lile lililotunguliwa na risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua. Tundu Lissu akiwa...
23 Reactions
161 Replies
11K Views
Habari wana JF, Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara...
1 Reactions
1 Replies
922 Views
Katika kila jambo la kisiasa linaloendelea , ikiwemo mikutano ya hadhara , kampeni na Maandamano , huwa kuna vijimambo vinavyofanyika vya kusisimua sana lakini huwa havipewi nafasi na Waandishi wa...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Mchungaji mwema wa Kondoo hutangulia mbele na kondoo wa Kundi lake humfuata nyuma Ili atokeapo Mbwa mwitu aweze kuwakabili kondoo wasidhurike. Mchungaji wa Mbuzi hukaa nyuma ya kundi lake na...
3 Reactions
6 Replies
838 Views
Natoka tahadhari Kwa Bashe, Waliokuwhikia Bango Kwa hoja za kizushi na upuuzi ndio hao hao waliokuwa wamemshikia Bango Mwigulu, January na Nape. Sasa wanaona kabisa unaenda kuwa threats Kwa...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Rais wa JMT Dr. Samia ataizindua rasmi Jengo la Ikulu mpya ya Chamwino siku ya 20/5/2023 Mungu ni mwema wakati wote!
19 Reactions
135 Replies
7K Views
Mapendekezo ya katiba mpya juu ya Usalama wa Taifa ni yapi? Naombeni nondo
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu akiongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama amefanya ziara fupi tarehe 02.2.2023 katika Hospitali ya Wilaya Tukuyu (Makandana) na kujionesha shughuli za...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali imefikia uamuzi wa kutekeleza mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) unaolenga kuongeza ushiriki wa vijana katika kilimo kwa kuwapatia mafunzo, maeneo ya mashamba, mitaji na...
0 Reactions
1 Replies
604 Views
Hamjambo Wadau. Kwa miaka Mingi Mbeya ilikuwa inaonekana ni ngome ya Chadema na hii ilitokana na hisia za watu wa Mbeya kuhisi wanatengwa na Serikali ya ccm Toka zama za JK na chuki zikazidi zama...
5 Reactions
150 Replies
10K Views
Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was. Hivyo ujinga wenu...
23 Reactions
49 Replies
3K Views
Zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour Aprili 28, mwaka 2022 kwa ajili ya kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii Tanzania. Akitoa ufafanuzi kwa wanahabari mwaka...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Back
Top Bottom