Uchaguzi 2020 Zitto: Membe hajaacha kufanya kampeni, yuko bize kuandaa Baraza la Mawaziri

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,428
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya.

Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT Wazalendo imekata upepo na Mgombea wao amekimbia kampeni?

Zitto amemjibu kuwa baada ya chama chao kuona wanaelekea kushinda wameamua kuweka nguvu nyingi kumsaidia Membe kuandaa Baraza lake la Mawaziri na hivyo kuwa katika nafasi nzuri kutimiza waliyoahidi siku 100 za kwanza.
 
Zito bhana

IMG_20200919_111210.jpg
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya .
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT imekata upepo na mgombea wao amekimbia kampeni?...
Hahahahaahaaaaaaa duuuh
Anaandaa baraza la mawaziri!!!?
Zitto mzima kweli? Naona anahitaji kupimwa akili
Yaani mtu aache kufanya kampeni aanze kuandaaa......
Dunia haiishiwi maajabu
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya .
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT imekata upepo na mgombea wao amekimbia kampeni?
Zitto amemjibu kuwa baada ya chama chao kuona wanaelekea kushinda wameamua kuweka nguvu nyingi kumsaidia Membe kuandaa baraza lake la mawaziri ,na hivyo kuwa katika nafasi nzuri kutimiza waliyoahidi siku 100 za kwanza
Duh!
FB_IMG_1599482729519.jpg
 
Nyie inamaana hamjui kuwa Membe anamuandalia Lissu baraza la mawaziri?? Hamjui kusoma basi hata picha? Membe waziri wa mambo ya nje, Lissu Rais, waziri mkuu Mbowe .. Zkk waziri wa fedha, Magufuli waziri wa barabara .. Lema waziri wa mambo ya ndani .. Sugu waziri wa michezo .. Tamisemi Bulaya .. Mdee waziri wa katiba na sheria.. Juma duni waziri wa Elimu .. Spika Kibatala ..kwa wakuu wa mikoa tunambakisha Antony Mtaka wa Simiyu baaasi
 
Back
Top Bottom