Rasmi ugomvi wa Membe na Musiba umeamuliwa na Mungu, Mungu fundi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa.

Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅.

Mungu fundi nyie!
 
Hakika mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyamaliza kwa namna anavyoona yeye ikimfaa.

Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli ulimalizwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umemalizwa na Mungu 😅.

Mungu fundi nyie!
Huo upumbavu wako ni wa mamako au babako? Deni liko pale pale, msimamizi wa mirathi atafuatilia na lazima Musiba alipe.
 
Back
Top Bottom