Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
13,580
18,618


---
Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa Wabunge huku wakidai hawakuteuliwa na Chama hicho.


Video: BAWACHA wakifanya maandamano

Baada ya ofisi hizo ndogo za Bunge kufungwa, Katibu Mkuu Bawacha amelazimika kusoma ujumbe huo mbele ya waandishi wa habari na kuweka nakala ya ujumbe huo ndani ya geti la Bunge.
 
FB_IMG_1683791823703.jpg
FB_IMG_1683791765332.jpg
FB_IMG_1683791752426.jpg


Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Wangeondolewa covid 19, maridhiano yangeashiria kuwa na tija, lakini kwa jinsi ilivyo HAIHITAJI KUVAA MIWANI ILI KUONA CCM INAVYOTUMIA MARIDHIANO KUCHELEWESHA KATIBA MPYA, NA KUWAHIFADHI COVID 19.
 
Fv05DRvXsAAQDEX

Sina tatizo na uwezo wa WANACHADEMA kufikiri ila nina mashaka makubwa sana na namna wanavyotumia uwezo wao kufikiri; kwa ujumla wanawaza tu hawafikiri hata kidogo
 
Back
Top Bottom