Kwa kumshughulikia Musiba ni wazi Membe atapata umaarufu wa kisiasa na huenda 2025 tukamuona CHADEMA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,146
membe.jpeg

Siasa ni Sayansi! Membe ameanza taratibu kurejesha umaarufu wake kwa kumshughulikia Musiba ambaye alikuwa kipenzi cha Shujaa Magufuli.

Kwa mbali nawaona CHADEMA wanamnyemelea kimtindo kwa kuifanya wanampa ushauri wa hapa na pale.

Ngoja tuone 2025 TAL akibadilishiwa gia angani!
 
Siasa ni Sayansi

Membe ameanza taratibu kurejesha umaarufu wake kwa kumshughulikia Musiba ambaye alikuwa kipenzi cha Shujaa Magufuli

Kwa mbali nawaona Chadema wanamnyemelea kimtindo kwa kuifanya wanampa Ushauri wa hapa na pale

Ngoja tuone 2025 TAL akibadilishiwa gia Angani!
Mwendelezo wa kejeli zako kwa Chadema. Chadema inayo hazina ya wanachama presidential material na hata wewe unajua hilo.
 
Siasa ni Sayansi! Membe ameanza taratibu kurejesha umaarufu wake kwa kumshughulikia Musiba ambaye alikuwa kipenzi cha Shujaa Magufuli.

Kwa mbali nawaona CHADEMA wanamnyemelea kimtindo kwa kuifanya wanampa ushauri wa hapa na pale.

Ngoja tuone 2025 TAL akibadilishiwa gia angani!
Kama musiba angekuwa kipenzi wa magufuli asingemtumia kiboya vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom