Kwa uteuzi huu wa RC Chalamila kuja Dar es Salaam, Rais Samia kaupiga mwingi

Burkinabe

JF-Expert Member
Feb 12, 2023
1,893
3,200
Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili.

Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla.

Ninachomwomba Chalamila, ni ajitahidi kuwa yeye na kuusema ukweli pasipo kumwogopa yeyote.

Usiogope kuwapa burudani wana Dsm kwa utani wako, maana hata hivyo hicho ndo kitambulisho cha uongozi wako.

Vinginevyo, nakutakia kila la heri unapokwenda kuanza kazi kwa kufanya "negotiations" na Wakinga wa Kariakoo.
 
IMG_0704.jpeg
IMG_0705.jpeg
IMG_0706.jpeg
 
Ninachojifunza ni kwamba, mitandaoni kuna wanafiki na watu wenye I'd nne nne na ndo wanatusumbua kumsgambulia Magufuli!
 
Back
Top Bottom