Njombe: Chadema yaendelea kutikisa kwa mikutano ya hadhara

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,635
218,069
Kama tulivyowaambia hapo awali , kwamba hii Operesheni ya Chadema ni ya nchi nzima , tena ni ya bila kukoma , yaani ni mfululizo hadi Katiba mpya imepatikana.

Hapa ni kata ya Lupembe huko Njombe ambapo baada ya kubanwa na Njaa kutokana na kazi kubwa wanayoifanya , Makamanda wakaamua kujipikia wenyewe chini ya CHEF mkuu Jongwe .

FB_IMG_1684419524419.jpg

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2626692

Ila kwakweli mbeya imekombolewa kutoka mbali. Fikilia huyo jamaaa eti alikuwa mbungee wa Jiji kama mbeya kweli??
 
Acheni kiki nyepesi hzo. Hamasisheni kubadilisha katiba ya chadema kipengere Cha ukomo wa madaraka...inakuwaje m/kiti akae madarakani miaka 30 halafu mtu wakukisemea chama yupo na karai la chips🤣
 
Kama tulivyowaambia hapo awali , kwamba hii Operesheni ya Chadema ni ya nchi nzima , tena ni ya bila kukoma , yaani ni mfululizo hadi Katiba mpya imepatikana.

Hapa ni kata ya Lupembe huko Njombe ambapo baada ya kubanwa na Njaa kutokana na kazi kubwa wanayoifanya , Makamanda wakaamua kujipikia wenyewe chini ya CHEF mkuu Jongwe .

View attachment 2626692

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Sugu moto chini
 
Acheni kiki nyepesi hzo. Hamasisheni kubadilisha katiba ya chadema kipengere Cha ukomo wa madaraka...inakuwaje m/kiti akae madarakani miaka 30 halafu mtu wakukisemea chama yupo na karai la chips🤣
Yani agenda iwe hiyo ya kumtoa mwenyekiti? Kumbuka mwenyekiti hakujiweka mwenyewe hapo
 
Acheni kiki nyepesi hzo. Hamasisheni kubadilisha katiba ya chadema kipengere Cha ukomo wa madaraka...inakuwaje m/kiti akae madarakani miaka 30 halafu mtu wakukisemea chama yupo na karai la chips🤣
Muwache MBOWE kama MBOWE!
... atabaki kuwa alama ya mapambano yetu mpaka ushindi upatikane!
👊 😅✌️✌️✌️💥
 
Back
Top Bottom