unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,505
- 2,862
Watanzania tuna changamoto nyingi sana lakini umbeya na majungu nahisi ndo mambo yanayokitafuna sana Taifa hili.
Katika kuchoka kwangu Jana na leo nahisi nimesoma karibu kila ujinga na hoja Jenga mtandaoni.
KILICHONISTUA ni habari aliyoandika mmama mmoja kuandika kuwa alikuwa na habari za ndani Kabisa juu ya taarifa ( file) ya AFYA YA BWANA LE MUTUZ. ALIJUA KUWA HANA SIKU NYINGI ZA KUISHI.
Je MUHIMBILI mmelichukulia hii jambo business as Usual?
Prof. Dr. JANABI na madaktari wa JK kitengo cha moyo, mmeona hili jambo dogo?
Watanzania tunapenda kujadili mambo ya kipumbavu lakini jambo serious Kama hili tunaona Sawa tu.
It’s a pity.