Miaka 62 ya kutawaliwa na CCM ndio wamejenga Ikulu ya kwanza. Hawajawai kujenga ofisi yoyote, CHADEMA waachwe, Ofisi sio Muhimu

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Miaka 62 ya utawala wa CCM, ndo wameweza kujenga Ikulu moja tu.

Sina kumbukumbu kama Kuna ofisi ya Mwenyekiti wa CCM wa Kijiji au mjumbe kumi waliwahi Jenga ofisi. Nijuavyo Mimi ofisi nyigi ni urithi, labda lile jengo la kikwete Dodoma wanalofanyia mikutano.

Kwa nini CCM mnawalazimisha CHADEMA wajenge ofisi Ili hali nyinyi mnatuibia pesa zetu?

Pesa zilizoibwa utawala wa Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa Samia Kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG zilikuwa zinatosha kujenga Ikulu mpya kama hii ya jana mikoa mitano nchini Tanzania.
 
Duh.....we jamaa!

Ofisi ya CCM Kata ya Mwananyamala Mwinjuma tumejenga sisi wanachama

Awali lilikuwepo Soko tukalihamishia kule Njia ya hospital ndio sababu linaitwa Soko la Mapinduzi

1980 hiyo baada ya Vita Vya Kagera!
 
Duh.....we jamaa!

Ofisi ya CCM Kata ya Mwananyamala Mwinjuma tumejenga sisi wanachama

Awali lilikuwepo Soko tukalihamishia kule Njia ya hospital ndio sababu linaitwa Soko la Mapinduzi

1980 hiyo baada ya Vita Vya Kagera!
Kulikuwa na vyama Vya siasa vingapi vile......mbatizaji
 
Back
Top Bottom