RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Sengerema katika serikali ya awamu ya nne mheshimiwa WILLIAM NGELEJA huenda akachanga karata zake za ubunge katika jimbo hilo kwani viongozi wake wamerudi na wanalamba asali.
Ikumbukwe kuwa William Ngeleja ni miongoni mwa Wabunge walioomba msamaha kwa Hayati Magufuli baada ya sauti zao kuvuja kwenye mitandao ya kijamii.
Kupitia tukio hiyo na kwakuwa yeye yupo katika team huyo huenda mheshimiwa TABASAM akatupwa nje ya uwanja wa legue 2025