Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,233
- 98,194
Kuna msemo wa samaki mmoja akioza basi na wengine huwa na sifa ya kuoza.
Najua wana CCM wengi kwa sasa wanaenda na upepo wa amani kulingana na mama Samia anavyo liendesha taifa kwa weledi.
Ila bado kuna watu ndani ya CCM bado hawataki kubadilika na kusahau kuwa hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa.
Tulifikia hatua mbaya sana ya chuki ndani ya taifa letu. Hongera sana mama Samia na mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe.
Tanzania bila chuki inawezekana.