Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ndio taarifa mpya kwa leo inayoletwa kwenu Wananchi wote na Dunia nzima, ni kwamba tangu kuanzishwa kwa Oparesheni hii ambayo ilianzia Kigoma, hakujawahi kutokea Umati mkubwa kama huu...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Uhuru wa kuzungumza ni muhimu katika mfumo wa kisiasa wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa unaowezesha wananchi kushiriki katika uchaguzi na kuwa na sauti katika maamuzi ya serikali...
1 Reactions
4 Replies
717 Views
Waziri Ummy kasema amekufa mtu moja na over 30 wamejeruhiwa. Unategemea kweli wakifa watu wengi aseme ukweli? Jawabu ni independent verification ambaypo haifungamani na serikali. All in all...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu mkoa wa Tanga Bi Chiku amewaamuru watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kuhamia Wilayani kwa lazima huku kukiwa hakuna nyumba za kuishi. Katika kuitikia...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mkiambiwa hakuna wa kushindana na CCM mnaanza kulia! Huu ni Mkutano wa Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga Iringa. CCM inakata Mbuga kwenye Vijiji na Vitongoji kwa siku zaidi ya Mikutano 10...
2 Reactions
8 Replies
850 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 36 leo Mei 30, 2023. Upatikanaji wa Dawa kwa Wazee Akijibu swali Bungeni kuhusu namna ambavyo Serikali inajipanga kutatua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mswahili anasema siku ya kufa nyani basi miti yote siku hiyo itakuwa ni kuteleza tu. Amesema mengi sana juu ya familia na kisa kizima cha msiba wa kaka yake. Pole sana ndugu yangu Musiba naona...
25 Reactions
250 Replies
16K Views
Alafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?
3 Reactions
84 Replies
8K Views
Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi...
5 Reactions
124 Replies
9K Views
Pongezi kwa Serikali ya Samia kwenye Sekta ya Kilimo. Kupitia serikali hii ya Rais Samia jitihada nyingi sana zinafanyika katika kufanya mapinduzi ya Kilimo nchini ili ile slogan tunayotembea...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Mungu azidi kukubariki rais Samia kwa uamuzi sahihi wa kutuletea ndege ya mizigo. Sisi wafugaji na wavuvi wa sangara sasa ni muda wetu kuuza bidhaa zetu nje ya nchi kwa wakati. Umefanya jambo la...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Gazeti la mwananchi lilishaandika makala juu yako wewe Luhanga Mpina mbona hujakanusha mpaka Leo kuhusu hizo ekari ulizopora Morogoro Katika kijiji cha dala Mwezi February mwaka 2021 tarehe 24...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Katiba mpya ikishaundwa na kukamilika haianzi kutumika mpk pale sheria na kanuni zitakapobadilishwa ili kuendana na katiba hiyo. Ikiwa mpk Sasa katiba haijaanza kuundwa kukiwa kumebaki miezi...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pongezi kwa Rais Recep Tayyip Erdoğan kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Rais wa Uturuki. Ameandika...
2 Reactions
0 Replies
515 Views
Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Ni Katika Mkutano wa hadhara kwenye Operesheni +255 makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia amekataa misaada ya Jumuiya za kimataifa wakati wa Uchaguzi kama alivyokataa...
9 Reactions
50 Replies
4K Views
Jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan sidhani kama kuna mwananchi wa bara la Afrika kwa karne hii ya ishirini na moja ambae halifafahamu jina hili, unashindwa vipi kufahamu jina la Rais wa kwanza...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Namsikia sikia aliyekuwa mgombea Urais 2020 kupitia CHADEMA Tundu Lissu akijisulubu nafsi yake kwa dhana ya kufikirika tu kwamba hakuna hata kiongozi hata mmoja aliyeshinda. Anayesema haya...
0 Reactions
7 Replies
722 Views
MUFINDI KUSINI WAMZAWADIA RAIS SAMIA NG'OMBE “Zawadi hizi; Ng'ombe Wawili, Mmoja kwa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na mwingine kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo zimetolewa na...
1 Reactions
1 Replies
460 Views
Kwa wahusika, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni...
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…