Rais Samia ampongeza Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan kwa Kuchaguliwa Tena

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,035
Kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pongezi kwa Rais Recep Tayyip Erdoğan kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Rais wa Uturuki.

Ameandika:
"Pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Rais Recep Tayyip Erdoğan, kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Rais wa Uturuki. Tutaendelea kufanya kazi pamoja kudumisha uhusiano wa kiuchumi na kidiplomasia kati ya Tanzania na Uturuki."

Screenshot 2023-05-29 at 23.04.05.png
 
Back
Top Bottom