Tundu Lissu adai Rais Samia ana mpango kama wa Hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2025 wa kuiba kura, Mbowe amwangalia kwa mshangao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,130
Ni Katika Mkutano wa hadhara kwenye Operesheni +255 makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia amekataa misaada ya Jumuiya za kimataifa wakati wa Uchaguzi kama alivyokataa hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2020.

Tundu Lisu akawauliza Wananchi huku akimwangalia Mbowe " Rais Samia ana nia gani?" Wananchi wakajibu kwa makelele JIBU lililomfanya Mbowe ashikwe na mshangao.

Kiukweli Lisu anaonekana kuwa na mashaka na Maridhiano hata kama hana mgogoro na mwenyekiti wake

Nawatakia Dominica njema!
 
Anadi sera Zake na kujenga chama sio muda wa kuanzia Julia Lia wakitafuta huruma
 
Ni Katika Mkutano wa hadhara kwenye Operesheni +255 makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia amekataa misaada ya Jumuiya za kimataifa wakati wa Uchaguzi kama alivyokataa hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2020

Tundu Lisu akawauliza Wananchi huku akimwangalia Mbowe " Rais Samia ana nia gani?" Wananchi wakajibu kwa makelele JIBU lililomfanya Mbowe ashikwe na mshangao

Kiukweli Lisu anaonekana kuwa na mashaka na Maridhiano hata kama hana mgogoro na mwenyekiti wake

Nawatakia Dominica njema!
Lisu anatumiwa na mbowe kufikisha ujumbe ,hoja za lisu ndio hoja za mbowe sema mbowe ni muoga Kwa sasa kuhusu kesi zake zilizowekwa pending

USSR
 
JokaKuu zitto junior Tindo

Maridhiano bado yana safari ila tutafika tu.
 
Ni Katika Mkutano wa hadhara kwenye Operesheni +255 makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia amekataa misaada ya Jumuiya za kimataifa wakati wa Uchaguzi kama alivyokataa hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2020

Tundu Lisu akawauliza Wananchi huku akimwangalia Mbowe " Rais Samia ana nia gani?" Wananchi wakajibu kwa makelele JIBU lililomfanya Mbowe ashikwe na mshangao

Kiukweli Lisu anaonekana kuwa na mashaka na Maridhiano hata kama hana mgogoro na mwenyekiti wake

Nawatakia Dominica njema!
Lisu anaona mbali, huyu anakataa misaada kusudi wasije wakalazimisha kuja kuangalia uchaguzi. Lisu yuko sahihi!
 
Ni Katika Mkutano wa hadhara kwenye Operesheni +255 makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia amekataa misaada ya Jumuiya za kimataifa wakati wa Uchaguzi kama alivyokataa hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2020

Tundu Lisu akawauliza Wananchi huku akimwangalia Mbowe " Rais Samia ana nia gani?" Wananchi wakajibu kwa makelele JIBU lililomfanya Mbowe ashikwe na mshangao

Kiukweli Lisu anaonekana kuwa na mashaka na Maridhiano hata kama hana mgogoro na mwenyekiti wake

Nawatakia Dominica njema!
Sasa unazidi kubadilika kama kinyonga,mwanzo ulisema kuna mgogoro mkubwa,sasa unasema yapo mashaka ya uwepo wa mgogoro,kesho utasema ipo amani tele chamani,tena unachokikunia kunguni kila uchao😂
 
Siasa usikariri 😃😃

Dunia inaenda kasi sana
 
Ni Katika Mkutano wa hadhara kwenye Operesheni +255 makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia amekataa misaada ya Jumuiya za kimataifa wakati wa Uchaguzi kama alivyokataa hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2020

Tundu Lisu akawauliza Wananchi huku akimwangalia Mbowe " Rais Samia ana nia gani?" Wananchi wakajibu kwa makelele JIBU lililomfanya Mbowe ashikwe na mshangao

Kiukweli Lisu anaonekana kuwa na mashaka na Maridhiano hata kama hana mgogoro na mwenyekiti wake

Nawatakia Dominica njema!
Wasiwasi ndio Akili !! Wanajuana wale !! Hata kwenye biere watu huwa Wanasemaga leta moja baridi moja moto !! Kwa taarifa ni kwamba ile ni msg sent and delivered !!
 
Lisu anatumiwa na mbowe kufikisha ujumbe ,hoja za lisu ndio hoja za mbowe sema mbowe ni muoga Kwa sasa kuhusu kesi zake zilizowekwa pending

USSR
Wala sio sababu ya kesi bali ni kuonyesha kwamba wao ni wastaarabu na wanakubaliana kutokukubaliana !! Mmoja anauma mwingine anapuliza ! Jamaa ni wajanja kweri kweri ! Ngoja tuone hii fomesheni !!
 
Ni Katika Mkutano wa hadhara kwenye Operesheni +255 makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia amekataa misaada ya Jumuiya za kimataifa wakati wa Uchaguzi kama alivyokataa hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2020

Tundu Lisu akawauliza Wananchi huku akimwangalia Mbowe " Rais Samia ana nia gani?" Wananchi wakajibu kwa makelele JIBU lililomfanya Mbowe ashikwe na mshangao

Kiukweli Lisu anaonekana kuwa na mashaka na Maridhiano hata kama hana mgogoro na mwenyekiti wake

Nawatakia Dominica njema!
Lissu huwa haamini katika unafiki, ni mkweli na haogopi kutoa yaliyo moyoni mwake
 
Lisu anatumiwa na mbowe kufikisha ujumbe ,hoja za lisu ndio hoja za mbowe sema mbowe ni muoga Kwa sasa kuhusu kesi zake zilizowekwa pending

USSR
Huwa usifikirie chama unachokiandama ni wanafiki kama chama lako la mafisadi/walafi mafisi huku huwa moja ni moja na sio moja ni elfu moja kama huko kwenu 😂
 
Ni Katika Mkutano wa hadhara kwenye Operesheni +255 makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Rais Samia amekataa misaada ya Jumuiya za kimataifa wakati wa Uchaguzi kama alivyokataa hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2020

Tundu Lisu akawauliza Wananchi huku akimwangalia Mbowe " Rais Samia ana nia gani?" Wananchi wakajibu kwa makelele JIBU lililomfanya Mbowe ashikwe na mshangao

Kiukweli Lisu anaonekana kuwa na mashaka na Maridhiano hata kama hana mgogoro na mwenyekiti wake

Nawatakia Dominica njema!
Hakuna cha maridhiano, hiyo ni danganya toto tu , wangalianza huku Zanzibar lakini Mwinyi alimteuwa yuleyule aliyemweka madarakani kwa kuuliwa watu kuwa ni Mkuu wa Tume ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom