Mama Samia miaka 9 tena. Sasa hivi tutalipa tulichokopa tu bodi ya mkopo. Hongera mama.
=====
SERIKALI imefuta tozo ya asilimia 6 ya thamani ya deni la wanufaika wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya...
Naona Rais wenu yuko busy na matamasha hadi ya Rais kuapisha masekretary, Sijui ipo kisheria au ni kupuyanga tu ili TV ziwe busy na Rais aonekane yupo na busy na shugli za kiserikali.
Ninavyojua...
Na Elia F Michael.
Baada ya kile kinachoitwa Great Economic Depression cha mwaka 1929-33 kuipiga Marekani na Ulaya alitokea Rais pale Marekani wa 32 aliyekuwa anaitwa Franklin Delano Roosevelt...
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyewe
Maandamano ya wamiliki wa Baa na Kumbi za starehe wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Mwanza baada ya kumbi/ Baa Kuzuiwa kufanya uchafuzi wa Mazingira kwa Kelele zilizozidi viwango...
Legacy sio swala rahisi rahisi sana kama tunavyo aminishana humu, Legacy inatakiwa kuishi miaka 100+ hizi ndio legacy zenyewe.
Hadi sasa bado Nyerere ndio ana legacy inayo ishi, na kubwa sana...
Mara zote tumeandika humu na kurudia tena na tena kwamba Cheo cha Mkuu wa Wilaya kiondolewe , hii ni kwa sababu DC hana kazi ya kufanya kwenye Wilaya.
Kazi kubwa za Mkuu wa Wilaya ni kusimamia...
SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO
Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya...
Si aibu kusema kuwa watanzania tuko vulnerable linapokuja suala la ufisadi barani Afrika hasa kwa experience tunayopata awamu zote tunazopitia.
Tunavyoenda ni ukweli ulio wazi kuwa hiki kipindi...
Demokrasia imeanza kurejeshwa tena Tanzania. Mikutano ya vyama vya siasa imeruhusiwa kwa kiasi na uhuru wa kujieleza unarudi. Upinzani ukiongozwa na CHADEMA umeanza kurudi katika hali yake kabla...
Wabunge na mawazi hawapokei simu za wajumbe wanajifanya wapo bize na bunge kwa bunge hili la bajeti inawezekana wapo bize lakini kabla ya bunge hili walikua wanasema wapo bize na vikao vya kamati...
WAZIRI DKT. DAMAS NDUMABRO AONGOZA TIMU YA WATALAAMU KUWASILISHA MAREKEBISHO YA SHERIA MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ameongoza Timu ya...
Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti...
Katika ziara ya Chadema (Operation +255) huko mpanda, Kuna tukio limeniacha na majonzi sana. Mgombea udiwani wa Chadema 2020, mwanamama shupavu alimwaga chozi akikumbuka ukatili wa JPM.
Mgombea...
Iwapo tu mifumo ya TEHAMA itasomana kati ya TPA na TRA....
Alimkumbusha mh.Mwigulu kutoruhusu kuondoka wale Wakorea hadi mifumo ya TEHAMA kusomana kati ya mamlaka zetu hizo mbili...
Habari JF,
Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.
Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiendelea na operesheni +255 Katiba Mpya katika Kanda ya Kaskazini, kauli kinzani zimeibuka kati ya viongozi wa juu wa chama hicho Mwenyekiti...
Ni mwezi wa pili sasa magari ya kuzoa taka hayaonekani mitaani na badala yake wakusanya ushuru wa taka ndio wamezagaa kukusanya ushuru wakigonga milango na mageti ya wanamtaa!
Hakuna taarifa...
Chadema wamesema katika Operesheni inayoendelea ya +255 Katiba Mpya wanakusanya malalamiko ya Wananchi na Watayapeleka moja kwa moja kwa Rais Samia Ikulu
Source Mwananchi