Kwanini Wahariri hamkutoa tamko la shambulio alilofanya Mzee Makamba kwa Mwandishi?

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
Wengi tuliona video clip ikimuonyesha Mzee Makamba akimpiga vibao begani na kumfokea na kumkashifu Mwandishi wa Habari kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma.

Shambulio hilo baya na la aibu amefanyiwa mwandishi wa habari mchana kweupe na kila mtanzania ameliona lakini jambo la kusikitika jukwaa la wahariri chini ya Ndugu Balile halijatoa tamko lolote hadi sasa.

Au Balile anataka kutwambia kwa kuwa anaitwa itwa na Januari Makamba kwenda kusifia mradi wa JNHPP na kushindwa kuuliza maswali muhimu yahusuyo mkataba au kwa sababu analipwa mamilioni ya shilioni ya Makamba tukio la mwandishi kudhalilishwa sio Big Deal kwao.

Hata Senior Journalist Pascal Mayala, hajazungumzia sakata hili. KUlikoni?
 
Hata Senior Journalist @ Pascal Mayala hajazungumzia sakata hili. KUlikoni?
Mkuu saidoo25 , kwanza asante kwa kunifungua macho kuhusu hili, kuna kitu nikikisema humu unaweza usiamini!. Japo mimi ni kada wa Chama cha Mapinduzi, amini usiamini sikubahatika kupata muda kuangalia mikutano Mkuu wa CCM, nimefanya kusikikia tuu Mzee Makamba alizungumza', sikuwahi kusikiliza alichozungumza!, lakini leo baada ya bandiko hili, ndio kwa mara ya kwanza nitamsikiliza Mzee Makamba na kama ni kweli kuna udhalilishaji wa mwandishi husika', nitatia Neno!.
Asante kwa angalizo
P
Update
Clip ni hii ngoja niiangalie

P
 
Mkuu saidoo25 , kwanza asante kwa kunifungua macho kuhusu hili, kuna kitu nikikisema humu unaweza usiamini!. Japo mimi ni kada wa Chama cha Mapinduzi, amini usiamini sikubahatika kupata muda kuangalia mikutano Mkuu wa CCM, nimefanya kusikikia tuu Mzee Makamba alizungumza', sikuwahi kusikiliza alichozungumza!, lakini leo baada ya bandiko hili, ndio kwa mara ya kwanza nitamsikiliza Mzee Makamba na kama ni kweli kuna udhalilishaji wa mwandishi husika', nitatia Neno!.
Asante kwa angalizo.
P
Na ufanye ivo..tetea taaluma yenu na sio maswala ya Uchama
 
Wengi tuliona video clip ikimuonyesha Mzee Makamba akimpiga vibao begani na kumfokea na kumkashifu Mwandishi wa Habari kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma.

Shambulio hilo baya na la aibu amefanyiwa mwandishi wa habari mchana kweupe na kila mtanzania ameliona lakini jambo la kusikitika jukwaa la wahariri chini ya Ndugu Balile halijatoa tamko lolote hadi sasa.

Au Balile anataka kutwambia kwa kuwa anaitwa itwa na Januari Makamba kwenda kusifia mradi wa JNHPP na kushindwa kuuliza maswali muhimu yahusuyo mkataba au kwa sababu analipwa mamilioni ya shilioni ya Makamba tukio la mwandishi kudhalilishwa sio Big Deal kwao.

Hata Senior Journalist @ Pascal Mayala hajazungumzia sakata hili. KUlikoni?
Wanaitaga fear anxiety !! Hata yale magonjwa sugu huwa yanasababisha hiyo hali !!
 
Tanzania hakuna waandishi wa habari.
557A1648-C3F1-4824-9B0E-1C101010C781.jpeg
 
Mkuu saidoo25 , kwanza asante kwa kunifungua macho kuhusu hili, kuna kitu nikikisema humu unaweza usiamini!. Japo mimi ni kada wa Chama cha Mapinduzi, amini usiamini sikubahatika kupata muda kuangalia mikutano Mkuu wa CCM, nimefanya kusikikia tuu Mzee Makamba alizungumza', sikuwahi kusikiliza alichozungumza!, lakini leo baada ya bandiko hili, ndio kwa mara ya kwanza nitamsikiliza Mzee Makamba na kama ni kweli kuna udhalilishaji wa mwandishi husika', nitatia Neno!.
Asante kwa angalizo.
P
Hahaha...kaka huu muda uliotumia kuandika maoni yako ulikua unatosha sana kutafuta hiyo clip na kuisikiliza na uje na maoni yako...but Maadam na wewe nakuonaga sana jinsi unavyomsifiaga mtoto wa mtuhumiwa kwamba ni genius na ni president material..sidhani kama utarudi na maoni yanayoweza kutia doa MASTER PLAN yenu.
 
Tunakusubiri kwa hamu kubwa Njaa.
 
Hahaha...kaka huu muda uliotumia kuandika maoni yako ulikua unatosha sana kutafuta hiyo clip na kuisikiliza na uje na maoni yako...but Maadam na wewe nakuonaga sana jinsi unavyomsifiaga mtoto wa mtuhumiwa kwamba ni genius na ni president material..sidhani kama utarudi na maoni yanayoweza kutia doa MASTER PLAN yenu.
Ni jadi yetu kuwa na fisibiliti stady, envaramento impakti assessimend kabla ya kufanya jambo
 
Back
Top Bottom