EALA: Kinana na Shaka wawafunda Wabunge wa CCM walioapa, Mnyaa wa CUF ndani, ACT Wazalendo hawakubahatika CHADEMA walisusa

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,542
2,175
IMG-20221219-WA0189.jpg
IMG-20221219-WA0172.jpg
WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ( EALA ) WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU

Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC.

Viongozi mbali mbali wakiwemo Mawaziri, wabunge, maspika wastaafu wa bunge hilo, viongozi wa wandamizi wa serikali na viongozi wa kisiasa wamehudhuria hafla hiyo akiwemo Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Cde Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka.
 
WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU

Matukio katika Picha🕹️
IMG-20221219-WA0649.jpg
IMG-20221219-WA0658.jpg
IMG-20221219-WA0658.jpg
IMG-20221219-WA0653.jpg
IMG-20221219-WA0652.jpg
IMG-20221219-WA0649.jpg
IMG-20221219-WA0648.jpg
IMG-20221219-WA0647.jpg
IMG-20221219-WA0644.jpg
IMG-20221219-WA0657.jpg
IMG-20221219-WA0640.jpg
IMG-20221219-WA0643.jpg
IMG-20221219-WA0646.jpg
IMG-20221219-WA0639.jpg
 
Hawa wabunge wako huko kwa ajili ya kujamiiana tu. Sijawahi kuona tija ya hili bunge. Siku nikiwa rais nitalifuta.
 
Bandiko zuri ila umeharibu uliposema Chadema waambulia patupu, Acha mahaba Niue. Wakati unajua tokea mchakato ulipoanza Chadema walisusa...sasa hapo ulitegemea wataibuka kama MZUKA?
Naona unaweweseka na Chagademus & Pliers....
 
Upuuzi mtupu!

Ni fedheha kubwa na kuzitia unajisi nchi kama Kenya yenye kiwango cha juu cha ustaarabu wa demokrasia, wabunge wake kwenda kukaa pamoja na wawakilishi wa CCM, chama kilichojaa uchsfu na kisichojua wala kuheshimu demokrasia.

Tanzania chini ya CCM, na nchi kama Burundi, Rwanda na Uganda, zilitakiwa kuwa jumuia yao. Jumuia ya nchi zisizoelewa ustaarabu wala demokrasia na haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
 
WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ( EALA ) WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU

Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC.

Viongozi mbali mbali wakiwemo Mawaziri, wabunge, maspika wastaafu wa bunge hilo, viongozi wa wandamizi wa serikali na viongozi wa kisiasa wamehudhuria hafla hiyo akiwemo Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Cde Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka.
Tanzania bara ni wapi?
 
WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU

Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC.

Viongozi mbali mbali wakiwemo Mawaziri, wabunge, maspika wastaafu wa bunge hilo, viongozi wa wandamizi wa serikali na viongozi wa kisiasa wamehudhuria hafla hiyo akiwemo Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Cde Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka.

Matukio katika Picha🕹️
View attachment 2452211View attachment 2452212View attachment 2452213View attachment 2452214View attachment 2452215View attachment 2452216View attachment 2452217View attachment 2452218View attachment 2452219View attachment 2452220View attachment 2452221View attachment 2452222View attachment 2452223View attachment 2452224
Asante Sana Crde JUMA JUMA
 
Back
Top Bottom