Leo nilikuwa napitia matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2005. Kwa watoto wa Instagram ambao wamekuta tayari Mbowe anaitwa mwamba ni vigumu sana kuamini kuwa Mbowe aliwahi kupigwa vibaya sana katika...
SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI MAZINGIRA BORA YA KUFANYIA BIASHARA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ametembelea Kiwanda cha kutengeneza Mavazi cha...
Nani alitwambia wabunge waliopata madaraka kwa njia za kimabavu ya kuwa sasa hivi wakitaka kufanya mikutano wafanyie kwenye stendi za magari?
Mara ya kwanza nilimuona Kimei aliitisha mkutano...
Akihutubia Umati wa wananchi huko Tabora , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu anesema kwamba viongozi wanaoongoza Tanzania kwa sasa hawawatetei wananchi kwa vile hawakupigiwa kura...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi...
Taarifa iliyosomwa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema mbele ya maelfu ya wananchi huko Tabora , ambayo imetoka Jeshi la Polisi , imeeleza kwamba Chadema hairuhusiwi kufanya mikutano ya hadhara kwenye...
Utafiti wa chanjo ya Ukimwi unaoshirikisha wizara ya Afya Tanzania na wizara ya ulinzi ya Marekani yaonesha mafanikio, majibu kutolewa mwakani
Chanjo ya ukimwi itaanza kutumika baada ya wizara...
MBUNGE PROF. KITILA MKUMBO - MAARIFA YAPATIKANE KWA LUGHA MBILI & LUGHA ISIWE KIKWAZO KWENYE KUPATA ELIMU
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akichangia hotuba ya...
BARUA YA WAZI KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR SAMIA SULUHU HASSAN JUU YA MWENENDO, KIBURI, DHARAU NA MAJIVUNO YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DR MWIGULU LAMECK NCHEMBA
Na Byemelwa...
Nikiwa kama mwandishi wa Habari, nimefanya kazi kwa ukaribu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Nimefanya kazi na viongozi wake wakuu, Lissu, Mnyika, Mbowe, Lema na wengine wengi. Tangu...
Jambo Jambo?
Nauliza tu swali.
Hivi kuna Rais alitumia Afisa Usalama hawa TISS kwa kiwango kikubwa hivi?
Kupitia hao TISS aligundua mengi sana na mengine hatuyajui kwasababu ni siri za Nchi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amewataka watanzania kuungana na Chama hicho katika madai ya kupata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila.
Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta...
Japokuwa Wabunge wa Nusu Mkate wengi Wao ni male hawa akina Sugu, Msigwa, Heche, Wenje, Mnyika, Mbowe, Benson, Bonny, Pambalu nk lakini kuingia kwao bungeni hakutakuwa kwa kidemokrasia pamoja na...
Bado naendelea kumkumbuka Rais wetu wa awamu ya tano, Field Marshall John Pombe Magufuli. Hakika maisha yake yaliwagusa watanzania wengi sana na hata kuondoka kwake kumeacha simanzi kubwa sana...
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo amewaeleza wananchi kuwa kazi ya kujenga nchi siyo ya lelemama na kuwa CCM inataka Katiba bora kuliko mtu mwingine yeyote.
Kwa nia njema na mapenzi makubwa, nimeona katika mikutano inayoendelea ya +255 KATIBA MPYA, Mbowe na Lissu pamoja na wapigania Katiba mpya wengine wakipeana mikono ya amani na furaha wa katikati...
Haya mambo matatu ni ya muhimu sana kwa vijana waliopo kwenye siasa
1. Kuna maisha baada ya Cheo /siasa.
2. Siasa haina rafiki au adui wa kudumu bali kinachoangaliwa ni maslahi .
3. Siasa ni...