Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173
Utafiti wa chanjo ya Ukimwi unaoshirikisha wizara ya Afya Tanzania na wizara ya ulinzi ya Marekani yaonesha mafanikio, majibu kutolewa mwakani

Chanjo ya ukimwi itaanza kutumika baada ya wizara ya afya na WRAIR Walter Reed Army Institute of Research iliyo chini ya Idara ya Ulinzi ya Marekani yenye uzoefu mkubwa wa kutengeneza dawa na chanjo za kupambana na magonjwa sugu ya malaria, diarrhea, dengue, influenza, HIV/AIDS, MERS-COV, Scrub typhus na magonjwa mengine ambukizi yanayoibuka.

Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) iliyo chini ya wizara ya Afya ikiyopo Mbeya imesema utafiti wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI unaofanyika kwenye nchi tatu za Tanzania, Uganda na Afrika Kusini unaendelea vyema na unatarajia kufikia tamati mwaka ujao huku majibu yake yakitarajiwa kupatikana ndani ya kipindi cha miaka miwili kuanzia sasa.

WALTER REED (WRAIR) SUPPORTED LABORATORIES IN TANZANIA SUCCESS STORIES ON THE FIGHT AGAINST HIV /AIDS

Dar es Salaam, Tanzania – This past week the Commander of the Walter Reed Army Institute of Research (WRAIR), Colonel Chad Koenig, visited several health facilities and diagnostic and research laboratories across Tanzania. WRAIR, also known as Walter Reed, is a U.S. government agency working within the Department of Defense, that has been operating in Tanzania since 1999. Walter Reed’s main objective in Tanzania is ending the HIV epidemic through research and the implementation of PEPFAR prevention, care, and treatment programs. This visit was Commander Koenig’s first time in Tanzania, and the Colonel spoke very highly of the quality of health facilities and care that patient were receiving saying, “I am quite impressed with the level of care you are able to provide, even in the more remote regions of Tanzania.”

Walter Reed focuses its HIV work in five regions in the Southern Highlands: Mbeya, Rukwa, Katavi, Songwe, and Ruvuma. In these areas WRAIR, through its implementing partner the Henry M. Jackson Foundation for Medical Research International (HJFMRI), provides comprehensive HIV/AIDS care and treatment services. With funding from the United States government, HJFMRI provides care and anti-retroviral drugs to over 210,000 HIV positive clients.

Commander Koenig and his delegation, which included Walter Reed Chief Science Officer Dr. Karen Peterson, and Director of the United States Army Medical Research Directorate- Africa, Colonel Shannon Lacy, focused much of their visit on Walter Reed’s research programs in Tanzania. Visiting with partners from PharmAccess International in Dar es Salaam, who run Walter Reed’s Global Emerging Infectious Diseases Program, Dr. Peterson pledged to continue U.S. support for this program. She stated, “ am glad to hear that we have a proposal to continue this important work and move it forward. We will continue to follow up on this project and see that it moves ahead.”

The team also visited the Mbeya Zonal Referral Hospital in the Southern Highlands to observe Walter Reed supported research facilities including the National Institute of Medical Research- Mbeya Medical Research Center, and laboratories run by the Ministry of Health in collaboration with HJFMRI. These facilities included TB diagnostic laboratories, HIV vaccine trial clinics, HIV viral load and sequencing facilities, COVID-19 diagnostic and sequencing laboratories, and a long-term research study that has tracked HIV patients across Africa since 2008 with the intent to inform and shape government policy and programming. Speaking of this 20+ year collaborative relationship Colonel Koenig said, “We are hopeful that through our support for research in Tanzania, we will be able to put this country in a strengthened position to be able to fight not only HIV, but future epidemics as well.”

The team concluded their trip with a visit to Lugalo General Military Hospital where they met with representatives from the Tanzania People’s Defense Forces (TPDF) Chief of Medical Services and the Lugalo General Officer Commanding, Brigadier General Dr. Agatha Katua. The U.S. government, through Walter Reed, has been supporting HIV/AIDS prevention, care, and treatment programs for the TPDF since 2006 and currently supports 21 different TPDF hospitals and clinics throughout Tanzania. At each of these military facilities, military members, their families, and local civilian populations are offered HIV counseling, testing, prevention strategies, anti-retroviral therapy, prevention of mother-to-child transmission, as well as programs to support orphans and vulnerable children
Source : https://tz.usembassy.gov/u-s-military-commander-visits-walter-reed-supported-laboratories-and-tanzania-peoples-defense-forces-health-facilities-in-tanzania/#:~:text=Dar es Salaam, Tanzania – This,and research laboratories across Tanzania.
 
Hawa NIMR siwaamini kabisa. Wametupiga sana kwenye dawa ya UVICO! Sasa Uzi wa chanjo unakujaje kwenye jukwaa la siasa?? Au ndo siasa zenyewe
 
Mashirikiano baina ya serikali mbili za nchi tofauti kukabiliana na magonjwa sugu kupitia wizara husika ni siasa pia. Jambo lolote kubwa bila kupata msukumo wa kisiasa ni ngumu sana kufanikiwa ndiyo maana tunaona jinsi wizara ya Afya Tanzania ilivyojitoa kufanikisha mahusiano haya ya kiutafiti.

Hivyo si jambo dogo NIMR ya Tanzania iliyo chini ya wizara mama ya Afya kufanya tafiti kubwa yenye mafanikio na Idara ya Ulinzi (Department of Defence) ya Marekani kuja na jibu la utatuzi kwa magonjwa yanayo wagaragaza wanasayansi ya tiba.

Taasisi ya utafiti the WRAIR (Walter Reed Army Institute of Research) inaheshimika kwa tafiti zake za kitabibu zilizozaa matunda ya kutengenezwa dawa na chanjo kukabiliana na matishio ya magonjwa ambukizi. Hivyo mashirikiano haya ya mataifa mawili kupambana kuokoa maisha na nguvukazi ni kazi zinazopewa ushirikiano wa kisiasa na hatimaye tunaona mafanikio ya chanjo.

WRAIR pia ilikuwa mstari wa mbele kupiga mbio za mafanikio ya kupata chanjo ya kupigana na coronavirus covid 19 na tukapata msaada toka watu wa Marekani kuleta chanjo nchini ya kupambana na Covid-19

2021 14 October

Developing a universal coronavirus vaccine at the Walter Reed Army Institute of Research (WRAIR)

Dr. Kayvon Modjarrad, director of the Emerging Infectious Diseases Branch at the Walter Reed Army Institute of Research, discusses his team’s collaboration with other agencies, academia and industry to develop a universal coronavirus vaccine to combat COVID-19
Source : Government Matters
 
Back
Top Bottom