Ccm wana nia mbovu na ozo ktk suala hili la katiba.Watakalo leta hilo hilo maana naona kila dalili watu watasusa
Wakijibu hili pls tag me,.....yule poacher???Je huyo aliyesimama kushoto ndio billionea tajiri Asas? Mbona kasimama kwa unyenyekevu mno?
Ok nawasubiria akina johnthebaptist walete majibu.Wakijibu hili pls tag me,.....yule poacher???
Uko sahihi, katiba itakayoletwa itakuwa ni kama hii hii kwa lugha tofauti. Machafuko pekee ndio yatatupatia katiba ya kweli ya wananchi.Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa ccm Ina dhamira ya kweli ya kuandika "katiba bora".
The positive effects of 255Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo amewaeleza wananchi kuwa kazi ya kujenga nchi siyo ya lelemama na kuwa CCM inataka Katiba bora kuliko mtu mwingine yeyote.
View attachment 2636922
Kuna nyakati zikitimia hakuna jinsiNitakuwa wa mwisho kuamini kuwa ccm Ina dhamira ya kweli ya kuandika "katiba bora".
Tembo wengi sana kule kidabaga (selous &Ruaha )gunned down leo wanautaka ubunge..it's a joke...bin kleb pale morogoro tembo wetu kule tunduru ipo siku utajibia mahakamaniOk nawasubiria akina johnthebaptist walete majibu.
Naona tanker za scania nyingi sana za asas. Nahisi thamani ya lile tanker si chini ya 250m na anayo mengi sana 🙌🏿
Extrovert hivi lile tanker moja la scania xt aliyonayo asas ni bei gani? Moja tu kichwa+ tanker la serin ni bei gani?
Labda kwa kuwa ndani ya ccm kuna makundi hasimu11 yawezekana yakasigana na hatimaye tukapata katiba mpya iliyo bora.
Salim kwa kawaida ni mnyenyekevu tangu akiwa Secondary school ndio sababu humkuti kwenye mbwembwe za mabilionea Uchwara kama hawa wa Makolo!Je huyo aliyesimama kushoto ndio billionea tajiri Asas? Mbona kasimama kwa unyenyekevu mno?
🤣Salim kwa kawaida ni mnyenyekevu tangu akiwa Secondary school ndio sababu humkuti kwenye mbwembwe za mabilionea Uchwara kama hawa wa Makolo!
GRW tanker trailer( imvubu)all aluminium profile si chini ya dola laki moja!! Scania xt ni dola laki unusu pale vingunguti combinatiob ya kichwa na teailer si chini ya dola 250,000. serin tanker ipo chini kidogo ila nayo ikiwa ya aluminiun bei hazitofautiani na grwOk nawasubiria akina johnthebaptist walete majibu.
Naona tanker za scania nyingi sana za asas. Nahisi thamani ya lile tanker si chini ya 250m na anayo mengi sana 🙌🏿
Extrovert hivi lile tanker moja la scania xt aliyonayo asas ni bei gani? Moja tu kichwa+ tanker la serin ni bei gani?
Ndio ukweli. Jamaa nachompenda ni muwazi hanaga Kona KonaKatibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo amewaeleza wananchi kuwa kazi ya kujenga nchi siyo ya lelemama na kuwa CCM inataka Katiba bora kuliko mtu mwingine yeyote.
View attachment 2636922
Kama yanatoka moyoni ni sawa ! Lakini kama ni ya mdomoni that’s another case. ! Ila inatia moyo kujua kumbe wengi wanaukubali ukweli kwamba bila Katiba bora kuijenga Nchi ni Ndoto !!Ni kweli
Mzee ASAS alikuwa na Watoto Watatu wanaume Salim, Munif na Naif na wote walisoma The Highlands Sec School🤣
Je utajiri wa akina asas hauna makandokando au skendo za hatari?
Je yeye ndio mwanzilishi au karithi?