Kwa nia njema na mapenzi makubwa, nimeona katika mikutano inayoendelea ya +255 KATIBA MPYA, Mbowe na Lissu pamoja na wapigania Katiba mpya wengine wakipeana mikono ya amani na furaha wa katikati ya makundi ya wananchi. Ni jambo zuri, la upendo mkubwa, lakini TAHADHALI NI MUHIMU.
Sina shaka na wananchi, wana mapenzi ya dhati na kweli, LAKINI
Nina wasi wasi humo wanaweza kujipenyeza maadui wakaleta madhara. KWA HALI ILE USALAMA WA VIONGOZI HAWA NI KIDOGO KIDOGO SANA
USHAURI: Wapungieni wananchi wapendwa kwa mbali bila kupeana mikono kama inavyoendelea sasa.
WE SHOULD NOT TAKE THINGS FOR GRANTED
Erythrocyte