CCM mjifunze kuwa hampendwi. Mbunge kuitisha mkutano na kukosa watu si dalili nzuri

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Nani alitwambia wabunge waliopata madaraka kwa njia za kimabavu ya kuwa sasa hivi wakitaka kufanya mikutano wafanyie kwenye stendi za magari?

Mara ya kwanza nilimuona Kimei aliitisha mkutano kwenye stend ndogo sana ya magari hapo njiapanda, kilijitokeza alikosa hata wale abiria waliokuwa wakipita waliishia kufyonya na kuondoka.

Leo Tena namwoma mbunge wa CCM sijui ni Jimbo gani ila anafanyia mkutano hapo Moshi stend zinapopaki hiace za kwenda Umbwe na Kibosho yaani ni aibu

Ebu tizama ilo tenit halina hata mtu mmoja ni aibu.

Tubuni la sivyo mtamfuta aliyewapa hivyo vyeo.
IMG_20230528_122707_759.jpg
 
Nani alitwambia wabunge walio pata madaraka Kwa njia za kamabavu yakuwa sasahivi wakitaka kufanya mikutano wafanyie kwenye stendi za magari?

Mara ya kwanza nilimuona Kimei aliitisha mkutano kwenye stend ndogo sana ya magari hapo njia panda kilijitokeza alikosa hata wale abilia walio kuwa wakipita waliishia kufyonya na kuondoka.

Leo Tena namwoma mbunge wa ccm sijui ni Jimbo gan ila anafanyia mkutano hapo Moshi stend zinapo paki haice za kwenda umbwe na kibosho yaani ni aibu

Ebu tizama ilo tenit halina hata mtu mmoja ni aibu.

Tubuni la sivyo mtamfuta aliyewapa hivyo vyeo.View attachment 2636450
Ndiyo wakome.
 
Mtu ukisha kuwa na roho ya kimasikini shida sana.
Kimei anataka kuwasaidia masikini kama ninyi , wewe unsona Kimei mwenye uwezo na hana shida za vijisenti, kuwa atapata sana.
Masikini ndio waliwao.
 
Nani alitwambia wabunge walio pata madaraka Kwa njia za kamabavu yakuwa sasahivi wakitaka kufanya mikutano wafanyie kwenye stendi za magari?

Mara ya kwanza nilimuona Kimei aliitisha mkutano kwenye stend ndogo sana ya magari hapo njia panda kilijitokeza alikosa hata wale abilia walio kuwa wakipita waliishia kufyonya na kuondoka.

Leo Tena namwoma mbunge wa ccm sijui ni Jimbo gan ila anafanyia mkutano hapo Moshi stend zinapo paki haice za kwenda umbwe na kibosho yaani ni aibu

Ebu tizama ilo tenit halina hata mtu mmoja ni aibu.

Tubuni la sivyo mtamfuta aliyewapa hivyo vyeo.View attachment 2636450
Muda bado, nenda saa 10 mpka 11 utakuta Nyomi :D :D :D :D
 
Ina maana hata Makatibu/Wenyeviti hawapo?

Nadhani muda wa kupanda Jukwaani haujafika, hivyo Wananchi wanamalizia viporo vyao vya Kande kwanza 🤪

Ila 2024 na 2025 ili CCM kishinde inahitaji nguvu na maelekezo kama ya JPM wakati wake wa 2019 na 2020 vinginevyo kwa Mikakati ya Chadema inayoendelea kuna uwezekano wakagawana viti nusu/nusu
 
Hakuna msukuma amewahi kuwa rais na Hatakuja atokee,yule fisadi muuaji hajawahi kuwa msukuma
Kweli kabisa Magufuli alikuwa ni mhutu kutoka Burundi ila akalelewa na Baba wa kambo ambaye ni msukuma baada ya mama yake kuvuka naye mpaka.

Kwa Watanzania tunajuwana, HAKUNA mtanzania mwenye chuki ya namna ya Magufuli ambaye anaweza kumshambulia Mtanzania mwenzie kwa sababu amemkosoa tu!! Kama alivyofanya kwa Lissu na Ben Saanane
 
Hapo Moshi mjini mmbunge wake awezi kosa umati. Sio mtu wa kuokota kama wabunge wa majimbo mengine.

Priscus Tarimo na Moshi mjini ni kama Lema au Gambo na Arusha mjini; wana watu sio wakuitisha mikutano na kukosa kadamnasi.

Labda uwe mpita njia tu hapo, umfahamu vizuri huyo mmbunge wa hapo ni alwatan kiasi gani.

Kwanza ushamuona akijipendekeza kishamba pamoja na kukulia CCM au ata akichangia mashudu bungeni; dogo ni mtu anaejielewa na hana njaa ya kushindwa kuendesha maisha nje ubunge.
 
Kimei, ni lini aliwahi kuwa mwanasiasa?

Angemaliza kipindi cha kupewa, akafurahia maisha yake ya ustaafu!

Hata uwe na noti zote ulimwenguni, muda ukifika, vumbini utarejea! What is the use then?
 
Back
Top Bottom