Hivi Kuna Rais aliwatumia kwa kiwango kikubwa na vilivyo TISS kama Magufuli?

Nshomile wa Muleba

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,165
5,551
Jambo Jambo?

Nauliza tu swali.

Hivi kuna Rais alitumia Afisa Usalama hawa TISS kwa kiwango kikubwa hivi?
Kupitia hao TISS aligundua mengi sana na mengine hatuyajui kwasababu ni siri za Nchi, mengine ya juu juu ni haya kama yapo mengine utayaongezea;

1. Muhimbili ambako aligundua upigaji wa hela za hospital kupelekea kutokununua vitanda na wagonjwa kulala chini. Pia Mkurugenzi wa wakti ule alikuwa hashindi ofisini mpka akatumbuliwa.

2. Wizi bandarini mpka kupelekea kugundua wezi wanapitisha bidhaa kwenye scanner huku zimezimwa. Akatumbua.

3. Manyanyaso na UMUNGU waliojitengenezea Magereza huko gereza la huko kasakzini akawathibiti

4. Wizi na ubadhirifu Mgodi wa Tanzanite

5. Utoroshaji wa madini na UMUNGU mtu wa Wizara ya Madini na upigaji wa hali ya juu, mpaka kupelekea pato la madini kuwa chini ya asilimia 3%.

6. Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ambayo Ilikuwa iuuzwe/Ijengwe na wachina kwa hisani ya msoga.

7. Kugundua Wizi wa Twiga na wanyama waliokuwa wanapewa “Free ride” kwenda nchi jirani na ulaya kwa ndege.

8. Mgodi wa barrick ulikuwa unasafirisha makinikia direct kutoka mgodini kupitia uwanja wake wa ndege humohumo ndani.

9. Kugundua namna PK alikuwa anataka kupandikiza mamluki kwenye uongozi wa vijiji na chama tawala na kuwazuia haraka sana

10. Kugundua na kuzuia ufisadi wa vitambulisho vya NIDA.

Yapo mengi sana huyu mwamba aliyafanya kwa kutumia tiss mpaka kugundua mabaya yote.

Msiwalaumu sana tiss kwa kesi ambazo haziwahusu,ila tulaumu watawala ambao hawataki pengine kuwatumia vizuri.

Magu alikuwa na madhaifu mengi ila kwenye mazuri tumpe sifa.

IMG_5986.jpg

Nshomile wa Muleba
kwasasa
Dar es salaam
 
Hayo yote hata Sasa mafaili yanapelekwa nyumba nyeupe ila 'tumechagua' ku_mute na kuwaacha wale kwa urefu wa kamba,ila wasivimbiwe.

Mafaili hayo hayo enzi ya jiwe alipopelekewa hakuchagua kukaa kimya,ila alilala nao 'mbere' na kuwatumbua.
 
Nimeshasikia Marais Mh JkM na Mh JPM wakikiri hadharani jinsi wasaidizi wao wa masuala ya ulinzi wanavyo wabana kufuata taratibu husika za kufanikisha usalama na ulinzi wao. Kauli hii, Sijui wale jamaa wataniruhusu nifanye hili au kujichanganya mahali flani bila ya kibali chao.

Ndio sasa na jiuliza kama wasaidizi wa mambo ya ulinzi binafsi wa Mh Rais wanaweza kumdhibiti afuate taratibu za kiulinzi alizopangiwa kwa nini TISS wasipewe uwezo huo huo kudhibiti kila maaumuzi ya kiuongozi yanayotolewa na Mh Rais kwa manufaa ya,Taifa? Sijui kama nimeeleweka.
 
Mbona yote uliyoyataja isipokuwa hilo la PK ni whistleblowing na sio intelligence km unavyotaka kutuaminisha? Kwa uelewa wangu najua mtu aliyeivunja nguvu ya PK ni JK kupitia ile oparesheni Kimbunga na sio JPM km unavyotaka kutuaminisha
Wewe ni shabiki wa JMK?
 
Hayo yote hata Sasa mafaili yanapelekwa nyumba nyeupe ila 'tumechagua' ku_mute na kuwaacha wale kwa urefu wa kamba,ila wasivimbiwe.

Mafaili hayo hayo enzi ya jiwe alipopelekewa hakuchagua kukaa kimya,ila alilala nao 'mbere' na kuwatumbua.
Aisey,Nchi hii ina Watumishi wanaojua kukalia Majalada kwa muda mrefu sana hadi Wanakera! Private sector hakuna ujinga huo!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Jambo Jambo?

Nauliza tu swali ?

Hivi kuna raisi alitumia Afisa Usalama hawa Tiss kwa kiwango kikubwa hivi?
Kupitia hao TISS aligundua mengi sana na mengine hatuyajui kwasababu ni siri za Nchi.

mengine ya jUu juu ni haya kama yapo mengine utayaongezea;

1.Muhimbili ambako aligundua upigaji wa hela za hospital kupelekea kutokununua vitanda na wagonjwa kulala chini.Pia Mkurugenzi wa wakti ule alikuwa hashindi ofisini mpka akatumbuliwa.

2.Wizi bandarini mpka kupelekea kugundua wezi wanapitisha bidhaa kwenye scanner huku zimezimwa.Akatumbua.

3.Manyanyaso na UMUNGU waliojitengenezea Magereza huko gereza la huko kasakzini akawathibiti

4.Wizi na ubadhirifu Mgodi wa Tanzanite

5.Utoroshaji wa madini na UMUNGU mtu wa Wizara ya Madini na upigaji wa hali ya juu, mpaka kupelekea pato la madini kuwa chini ya asilimia 3%.

6.Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ambayo Ilikuwa iuuzwe/Ijengwe na wachina kwa hisani ya msoga.

7.Kugundua Wizi wa Twiga na wanyama waliokuwa wanapewa “Free ride” kwenda nchi jirani na ulaya kwa ndege.

8.Mgodi wa barrick ulikuwa unasafirisha makinikia direct kutoka mgodini kupitia uwanja wake wa ndege humohumo ndani.

9.Kugundua namna PK alikuwa anataka kupandikiza mamluki kwenye uongozi wa vijiji na chama tawala na kuwazuia haraka sana

10.Kugundua na kuzuia ufisadi wa vitambulisho vya NIDA.

YAPO MENGI SANA HUYU MWAMBA ALIYAFANYA KWA KUTUMIA TISS MPAKA KUGUNDUA MABAYA YOTE.

MSIWALAUMU SANA TISS KWA KESI AMBAZO HAZIWAHUSU,ILA TULAUMU WATAWALA AMBAO HAWATAKI PENGINE KUWATUMIA VIZURI.

MAGU ALIKUWA NA MADHAIFU MENGI ILA KWENYE MAZURI TUMPE SIFA.

View attachment 2629942

Nshomile wa Muleba
kwasasa
Dar es salaam
Maripoti yapogo tu
 
Kama unaamini mtu akiwa Usalama Basi:

  • Ana akili kinoma
  • Anajua kila kitu kinachoendelea nchi hii
  • Anaweza kufanya chochote wakati wowote
  • Anaweza kuingia na kutoka ofisi yoyote wakati wowote.

Jipige KIFUANI, sema MIMI ni JUHA KUBWA.
 
Hayo yote hata Sasa mafaili yanapelekwa nyumba nyeupe ila 'tumechagua' ku_mute na kuwaacha wale kwa urefu wa kamba,ila wasivimbiwe.

Mafaili hayo hayo enzi ya jiwe alipopelekewa hakuchagua kukaa kimya,ila alilala nao 'mbere' na kuwatumbua.
Ripoti ya profesa Ossoro iliwataja kwa majina watu waliostahili kuchukuliwa hatua kwa kuliingiza taifa kwenye hasara, watu hao ni Chenge, Karamagi, Yona nk, na Magufuli akaagiza wakamatwe. Kwanini hakuwachukulia hatua kama kweli alikuwa anapambana na ufisadi?

Wenzako huwa wanakimbia tukifika hapa kwamba Magufuli alikuwa hapambani na mafisadi, bali alikuwa anakomoa wafanyabishara aliokuwa anawachukia, lakini hakuwa na uwezo wa kuwachukulia hatua wanaccm wenzake, maana nao walikuwa wanajua uchafu wake. Hebu ww tuambie kuhusu hili, acha zile propaganda nyepesi alizokuwa anafanya kuhadaa wasiojua lolote.
 
Jambo Jambo?

Nauliza tu swali ?

Hivi kuna raisi alitumia Afisa Usalama hawa Tiss kwa kiwango kikubwa hivi?
Kupitia hao TISS aligundua mengi sana na mengine hatuyajui kwasababu ni siri za Nchi.

mengine ya jUu juu ni haya kama yapo mengine utayaongezea;

1.Muhimbili ambako aligundua upigaji wa hela za hospital kupelekea kutokununua vitanda na wagonjwa kulala chini.Pia Mkurugenzi wa wakti ule alikuwa hashindi ofisini mpka akatumbuliwa.

2.Wizi bandarini mpka kupelekea kugundua wezi wanapitisha bidhaa kwenye scanner huku zimezimwa.Akatumbua.

3.Manyanyaso na UMUNGU waliojitengenezea Magereza huko gereza la huko kasakzini akawathibiti

4.Wizi na ubadhirifu Mgodi wa Tanzanite

5.Utoroshaji wa madini na UMUNGU mtu wa Wizara ya Madini na upigaji wa hali ya juu, mpaka kupelekea pato la madini kuwa chini ya asilimia 3%.

6.Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ambayo Ilikuwa iuuzwe/Ijengwe na wachina kwa hisani ya msoga.

7.Kugundua Wizi wa Twiga na wanyama waliokuwa wanapewa “Free ride” kwenda nchi jirani na ulaya kwa ndege.

8.Mgodi wa barrick ulikuwa unasafirisha makinikia direct kutoka mgodini kupitia uwanja wake wa ndege humohumo ndani.

9.Kugundua namna PK alikuwa anataka kupandikiza mamluki kwenye uongozi wa vijiji na chama tawala na kuwazuia haraka sana

10.Kugundua na kuzuia ufisadi wa vitambulisho vya NIDA.

YAPO MENGI SANA HUYU MWAMBA ALIYAFANYA KWA KUTUMIA TISS MPAKA KUGUNDUA MABAYA YOTE.

MSIWALAUMU SANA TISS KWA KESI AMBAZO HAZIWAHUSU,ILA TULAUMU WATAWALA AMBAO HAWATAKI PENGINE KUWATUMIA VIZURI.

MAGU ALIKUWA NA MADHAIFU MENGI ILA KWENYE MAZURI TUMPE SIFA.

View attachment 2629942

Nshomile wa Muleba
kwasasa
Dar es salaam
After that ?????
 
Back
Top Bottom