Kama Taifa! Muda umefika wa kutambua uwezo na uthubutu wake aliyekuwa Rais wetu Hayati Magufuli

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,281
Uwezo wa mtu upo katika kuamua kwa usahihi na kisha kutenda bila kusubiri

Nchi yetu imekuwa na nyakati za kuongozwa na viongozi aina mbalimbali

Viongozu wote duniani ili waingie kwenye record ya viongozi bora, hupimwa kupitia ufanisi woo wa kuongoza ikiwemo pamoja na uthubutu wao wa kuamua na kutenda bila kujali athari za wakati mfupi ikilinganishwa na manufaa makubwa ya wakati ujao

Kwa waoga wa maendeleo hufikiri kula na siyo uzalishaji mkubwa wa baada ya dhiki!

JPM ametupitisha kwenye mambo ambayo wengi wa viongozi wapenda kula na siyo maendeleo ya badaye pamoja na ulaji wa kinvulini baada ya dhiki ya muda mfupi, walimuona ni Rais katili sana na asiyefaa kabisa kuwa kiongozi!

Hawakujua methali isemayo! ukitaka cha uvunguni, shariti uiname, na kwamba, baada ya dhiki, ni faraja

Ni rasimi sasa kama nchi, kwa namna tunavyokwenda shimoni huku tukijiona, ni bora sasa tutambue mchango wa aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano ndugu hayati Dr John Pombe Magufuli kwamba anastahili na mchango wake juu ya taifa hili uandikwe kwa peni ya dhahabu ili kizazi kijacho kije kujifunza namna bora ya kuongoza nchi na siyo blaa blaa tunazoshuhudia sasa!
 
Mi Nadhan tudeal na walio hai!!
 
Back
Top Bottom