Tanganyika ilimezwa na Tanzania ndio sababu tuna Tanzania Bara na Tanzania Visiwani halafu kuna Zanzibar, hivi ni vitu vitatu tofauti!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,944
Tanzania Bara na Tanzania Visiwani = Tanzania

Tanganyika ilijibadili kuwa Tanzania Bara

Zanzibar ilibakia lakini yale mambo ya Muungano ndio hutambulika kama Tanzania Visiwani

Niko najifunza Muungano wa Uingereza na Himaya ya Ufalme wake

Ndio ghafla nimeukumbuka Muungano wetu imara
 
ila kuna siku tutapata Rais atakayewapa uhuru wa kuchagua wala urojo, na hakuna mtu wa bara atalalamika, zaidi sana wataona bora imekuwa hivyo. that day is coming.
 
Tanganyika iliuzwa na watanganyika wenyewe kwa maslahi ya kisiasa na tamaa ya madaraka kama ilivyo jadi na desturi ya viongozi wa Afrika
 
Nyenyere aliingia maagano ya kipepo kuunganisha Tanganyika na Zanzibar
 
Tanzania ni Tanzania, iheshimiwe.

Zanzibar ni Zanzibar, inafahamika.

Tanganyika ni Tanganyika, ipewe hadhi yake
 
Back
Top Bottom