Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wafuatao waunge mkono jitihada za Mawakili hawa ili tujiridhishe na uhalali wa ufunguaji wa shauri hili:- 1. Viongozi wa Dini (akina Kitima, Kilaini, Kakobe, Niwemugizi, Mwingira, Bagonza, Eliona...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hatimaye Mahakama ya Rufani, (Highest Court of the Land), almaarufu "an Appex Court" imetupilia mbali maombi ya wakili machachari Fatma Karume kupinga uamuzi wa Jaji kiongozi kumsimamisha uwakili...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna msemo maarufu sana katika lugha ya kiswahili ujulikanao kama "mchuma janga hula na wa kwao". Pia kuna msemo dada na huo ujulikanao kama " mchimba mashimo hutumbukia mwenyewe". Unapofanya au...
78 Reactions
121 Replies
12K Views
Nimeuliza tu !! Japo mada hii itafutwa nusu saa ijayo
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Tatizo la Afrika kwa mawazo yangu sio kutokuwa na wasomi wa kutosha bali tuna matatizo makubwa matatu 1. Kutokuwa ma maarifa 2. Utamaduni wa kupuuza -Sheria, wezi, rushwa.... 3. Ubinafsi- Mfano...
0 Reactions
11 Replies
822 Views
Na haya yote ni madhara ya kuruhusu uwekezaji wa wachina kiholela holela , kuna viwanda bubu vingi sana vina zalisha bidhaa bandia hapa dar es salaam na vingi ni vya wachina TBS wapo TFDA wapo ...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
MOJA ya jukumu kubwa la kikatiba la Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Kuandaa Hati zote za kisheria na Maazimio kwa ajili ya kuidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania swali...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4, 5 ama 6. LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na...
28 Reactions
124 Replies
8K Views
Dangote alikuja na mkwara eti atauza cement 5000, tulichomfanya abajuta kuwekeza Tanzania. Kila week kuna roli linaanguka na kuwa scraper, cement yake haina tena soko wala hajawahi kuuza bei...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Dubai ndio lango la Meli kubwa za ku exchange mizigo Duniani, kwamba Meli zote kubwa zina tia nanga pale zina pakua mizigo inapakiwa kwenye meli ndogo ndio sasa zinasambaa kuja Africa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeusoma mkataba wa bandari kuna mapungufu machache tu yanayoweza kurekebishika. Watanzania tuondoe wasiwasi tushauri kwa lugha nzuri. Mfano kama ikiwezekana ibara ya 23 ingefanyiwa maboresho...
8 Reactions
72 Replies
4K Views
Kengere ya dharura imepigwa bungeni na wabunge wametoka nje sasa hivi Bunge limestisha vikao vyake muda huu baada ya kinachoonekana kama ni kusikika kwa mlio wa alarm ambao mara nyingi huashiria...
8 Reactions
228 Replies
42K Views
Kutokana na madai ya kuwepo changamoto za mifumo madhubuti na kusababisha baadhi ya watu wasio na uadilifu kujihusisha na vitendo vya udanganyifu na kupoteza mapato ya Serikali katika Bandari ya...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Ndugu zangu watanzania, Kwa upendo mkubwa , unyenyekevu,uzalendo kwa Taifa langu napenda kuwaambia watanzania wenzangu kuwa Tuendelee kumuunga mkono na kumwamini Rais wetu katika kuliongoza Taifa...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Kambarage Wa butyama Yule baba Kashindikana,Upeo wake wengi Wajitafte,Sioni Hata mmoja kwa Chadema wajiitao wenye kichwa Chambuzi na Ishara Yao ya vidole viwili Kama wataweza kuwa na Akili ya...
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Tanzania kwa siku za hivi karibuni imedhihirisha kile ambacho Naibu waziri wa Afya Dk. Mollel aliwahi kusema; kwamba Tanzania wajinga ni wengi. Kwa bahati mbaya sana hata viongozi wakubwa na...
8 Reactions
113 Replies
6K Views
TLS imefanya kazi kubwa ya kupitia kipengere kimoja kimoja cha Mkataba kati ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai. Taarifa hiyo imeaimisha kinagaubaga maeneo yote ya hovyo, ikaelezea madhara...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Salaam, Mh. Ummy Mwalimu mwaka 2017 pale mnazi mmoja alizindua Toto Afya kadi kwa lengo la kusajili watoto 10m kati ya 25m walio kuwepo wakati huo ili kunusuru afya za watoto wetu kabla ya...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amesema wao kama wawakilishi wa Wananchi wamepitia Vifungu vyote kimoja baada ya kingine na wamejiridhisha havina shida yoyote...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…