Barua ya Malkia Elizabeth, Kambarage kaisoma

kalooo

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
270
154
Kambarage Wa butyama Yule baba Kashindikana,Upeo wake wengi Wajitafte,Sioni Hata mmoja kwa Chadema wajiitao wenye kichwa Chambuzi na Ishara Yao ya vidole viwili Kama wataweza kuwa na Akili ya Subira ya Katiba mpya inahitaji nini Maana, Kambarage Wa butyama Kashindikana kwa Kila Kitu ila Sioni wa kumzidi Hata mzee wa Msoma majita Huyo Mjee Bado hawezi kumpiku Mkatoliki na Kisigara kilichopata ukomo,Yaani kambarage Wa Butyama karibu na Musoma ya karibu na Busega.

Kambarage hakutaka Muungano uwe 1965 aa alitaka 1964 tu,Kwa Mtu mgeni humu Kwenye hizi Mambo hatashangaa Kuona hi Miaka 1821,1890,1961 na Hata shangaa pia 1964 ya Kambarage kuitafta Miaka 2034, Waislamu walimuita Musa Aliyetaka awatoe wana Waisrael mikononi mwa utumwa akitumia Miaka arobaini,Kambarage Wa Vyama vingi(1995) alitaka Kuona Mambo Fulani hivi ya Vyama kuwa wajijenge Kwanza kisera ili wapate Chama mathubuti au Kama isemavyo Kuran humo yamo Maji na Milima yenye michirizi mieupe,miusi na miekundu humo tutapata kula matunda,Tena Tulitaka tuuwashe Mwenge Tuuweke Mlima Kirimanjaro ili kumlika nje ya Mipaka,Na hapo ipo Bwana ndio ngao yangu,Kwa Ishara ya Isaya 8 hapo Ndo penye Akili,yaani Ufunuo17 ndipo nauona Umoja wetu baada ya Uhuru,Lakini majira Ni hayo na vidole viwili Ni hivo,Kikubwa Nasema Kambarage alipolala aendelee kuombewa Kama Nembo ya Taifa Hili.

Wapo watakaomuona Wakawaida kwa Sababu zao ila wasijue alikuwa moja yenye nguvu Katika Saba,Sur at Sabaa,Kuran 78 na Sur at 43 hapo Sasa msiwe wakutoona 2wakorinto12 Ndo hapo akiwa Kenya alipohojiwa kuhusu Umoja wa EA na Akashangaa kwa Sababu Wengi wanatumia Akili zao kwa Mfano huo Ikawepo 2Wathesalonike2 Tena kwa Nembo ile ili Iwepo Wakolosai2;7-9 hapo ndipo penye akili,Bila mwanamke Hakuna Maendeleo,Maendeleo Ni haya,Yawepo Mafungu Saba ili tuone Kurani isemapo miaka 50 ya kuwepo kwake tangu ile miaka 70 ya kuinuka Chukizo la Uharibifu Lile Alilolinena Daniel,kwa Huyo Asimamapo hapo Mlima kirimanjaro kwa Tarumbeta lake lenye Alama7 Surat Sabaa hapo ndipo penye Marejeo.

Na hapo ujuapo Nini Nchi za Magharibi,Au mwandani Ndimo huwekwa Mtu kwa safari ya mwisho isiwepo nyingine Huko aendako kuielekea Magharibi Basi mkakumbuke Hata miji ipo Leo na inao Watu Mahususi bila Wao Hakuna rejea na Rejea kuu iko hivi,Kama umeme umlikaokutoka kutoka Mashariki na Kuonekana kwake mpaka Magharibi hiyo ndio Ishara ya Ujio wake Huyo asiye na ukomo.

Basi Kambarage Wa Butyama kwa utunzi wa Shabani Robert- Kusadikika anasema Australia kuwa baada ya Miaka 50 ya Huyo aliyesimama Mlima kirimanjaro na Siri kuzifungua zote Basi akubali kuwa baada ya Miaka hamsini hapo ndipo penye Marejeo yaliyokuwa hayajasomwa Kwenye hii barua ya Malkia Elizabeth Mkuu wa Jumuiya ya Madola kuwa Leo Afrika Ni moja na Mungu mmoja hasa Katika Imani moja yaani kristo mpatanishi mmoja.

Kwa hapo Kambarage Wa Musoma,Kawapiku Wengi Sana Hasa Wapenda Pesa,Makungu,Na wale wasemao Badala ya Mungu Mzungu wasieliewe Hata yeye alikuwa Zagamba Nyeusi kwa Mwanae ama mjuu wake Huyo Thomas aliyeibeba fimbo na Leo Mbowe kamfuata Uingeleza ili waje wayajenge maana Vicent Nyerere kapoza Sauti ya Mwalimu kwa Sababu tu alioa Askari Huko Musoma,Ila angejua Yupo Farasi Mweusi atakiwaye aje apandwe na Huyo wa Mizani angerudi Tena 2025 tuitafute namba hii tena Kama Tusemavyo Tulianza na Mungu na Tunamaliza na Mungu,Magufuli aliwazuia kwa siku 2300 na Mpaka 2025 Ni siku 1290 Basi Leo Roma na Jaydee Ndo Wako mbele kwa utambulisho wa Watoto wa Mama Samia Nguli Hangaya,Chui jike la Kidunia Katika Nchi ya kusadika

Sasa mpeni Mama Maua Yake maana Tarehe 21mkiwa Mwanza mlichelewa baada ya 31-12-2022 kufungwa midomo
Nani Nguli wa Katiba,Si Kambarage Wa Musoma,Kuweza kuwepo Saba Zenye nguvu,Hiyo Milango Saba ya Ikulu ya Dar ya Surat Hijr 44-46 wataambiwa wachamungu waingie Mahala humo pa Amani na Salama.

Je sijasoma hiyo Barua mpaka hapo? Basi msinishushue,Nanyinyi mtajisheuwa ila Wakati na Majira waga Ni hayo hasa Kwa Wasomaji.
 
Je sijasoma hiyo Barua mpaka hapo? Basi msinishushue,Nanyinyi mtajisheuwa ila Wakati na Majira waga Ni hayo hasa Kwa Wasomaji.
Mkuu 'kalooo', uandishi mgumu sana huu kwa levo yetu hii!

Kabla ya kuyaandika hayo maneno hapo juu, mwanzo nilitaka kusema "Bangi za Arusha" hazina mfano wake duniani kote; lakini haya ya mwisho usiyatilie maana yoyote.
 
Nimejitahidi sana kukuelewa, lakini uwezo wangu ni mdogo sana, kwa leo inanibidi nikiri hili.

Sijui nikasome tena?
 
Back
Top Bottom