polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,362
- 5,809
Na haya yote ni madhara ya kuruhusu uwekezaji wa wachina kiholela holela , kuna viwanda bubu vingi sana vina zalisha bidhaa bandia hapa dar es salaam na vingi ni vya wachina TBS wapo TFDA wapo ,
Wao wanakaa maofisini kusubiri mtu awape mchongo ndio wajifanye kuita waandishi kujifanya wapo kazini lakini kuna bidhaa nyingi sana bandia mitaan hadi vyakula na madawa kabisa na vina zalishwa hapa hapa nchini na vinaenda kwa mlaji.
Nchi hii tunaweza kusimamia kitu gani kwa ufasaha ? Au tuendelee kusaidiwa na waarabu maana tumeshindwa.
Hivi vitu bandia vina madhara makubwa sana kiafya ndio maana magonjwa yasiyo ambukiza nchi hii yatazidi kuongezeka mara dufu usalama wa raia na afya za raia havizingatiwi wakati mamlaka zinazo husika na swala hilo zipo zina kula mshahara tu.