Kwanini Mwanasheria Mkuu wa Serikali hakuwepo bungeni Azimio la Bandari likipitishwa?

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
MOJA ya jukumu kubwa la kikatiba la Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Kuandaa Hati zote za kisheria na Maazimio kwa ajili ya kuidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania swali wanalojiuliza watanzania wote miijini na vijijini ni kwanini siku ya tarehe 10 Juni 2023 wakati wa kupitisha Azimio hilo Mwanasheria Mkuu wa Serikali hakuwepo bungeni.

Wataalamu tusaidiane uelewa.
 
Mbona Mimi sijiulizi Hilo swali?
Ifike wakati watanzania tuache ujuaji kwenye kila kitu, tunahitaji mabadiliko kwenye sekta zetu sio hizi janja janja za kila siku
 
Unatambua majukumu ya AG kikatiba? au unataka kuwa wabunge walikuwa wanamjadili Mbowe badala ya mkataba
 
Mbona Mimi sijiulizi Hilo swali?
Ifike wakati watanzania tuache ujuaji kwenye kila kitu, tunahitaji mabadiliko kwenye sekta zetu sio hizi janja janja za kila siku
20230612_123510.jpg
 
Unadhani yeye hajisikii vibaya kwa utopoli ule? Nafsi inamsuta asee nae ni binadamu. Ma system tu yamembana ila wengi deep inside wanaumia

Jibu Zima lipo kwenye Ile hotuba ya Waitara. Bila kujali content mjadala ni wa mama, ni wa CCM lazima upite iwe jua iwe mvua!!
 
Hakuna namna tunaendela kuadhibiwa Kwa mizizi iliyoota huko nyuma
 
Labda hakushirikishwa ameona asiingie kwenye hiyo dhambi... ndio maana hata Katibu Mkuu Uchukuzi naye amesaidiwa kuweka saini naye inaonekana hakutaka kushiriki jambo hili nafsi ilimsuta
 
Mbona Mimi sijiulizi Hilo swali?
Ifike wakati watanzania tuache ujuaji kwenye kila kitu, tunahitaji mabadiliko kwenye sekta zetu sio hizi janja janja za kila siku
Mabadiliko gani utayapata bila kupaza sauti na kuhoji mambo msingi? au hayo mabadiliko unaletewa tu kama zawadi ya birthday?
 
MOJA ya jukumu kubwa la kikatiba la Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Kuandaa Hati zote za kisheria na Maazimio kwa ajili ya kuidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania swali wanalojiuliza watanzania wote miijini na vijijini ni kwanini siku ya tarehe 10 Juni 2023 wakati wa kupitisha Azimio hilo Mwanasheria Mkuu wa Serikali hakuwepo bungeni.

Wataalamu tusaidiane uelewa.
Hata hapa hakuruhusiwa kufika wala kujua kinachosaini mkui
 
Attachments

  • 7D3AAC37-00A3-4F42-91E8-A212247517E9.jpeg
    7D3AAC37-00A3-4F42-91E8-A212247517E9.jpeg
    81.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom