Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?! Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na...
6 Reactions
54 Replies
3K Views
World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi...
24 Reactions
185 Replies
11K Views
Kuna miamba imekunjwa bia hapa Mwenge imekaa inajadili mambo ya kijeshi....miamba hii inaongea kwa uchungu hadi natamani kuwarekodi wanavyopayuka kuhusu dhulma za upandishwaji vyeo wizara ya mambo...
0 Reactions
6 Replies
915 Views
Huyu rais Samia anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Anajua kucheza na akili za watanzania kweli kweli. Kabla ya kumleta mwarabu alianza kwa kuwaweka sawa wabunge (kama alivyotujuza mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Nchi hii inachosha sana ukiangalia mambo inayofanya, vurugu kila kona na wala huoni mambo ya maana yakifanyika. Ni kama kuwa na watoto watundu, unamkataza hiki anafanya kile, ukimkataza kile...
0 Reactions
2 Replies
612 Views
Kwenye mada, Kuna wakati unawaza kuhusu kwanini Afrika?Unaelewa ni agenda ya mezani ya kila siku ya nchi zilizoendelea. Kama tunavyofikiri namna ya kuendesha familia zetu vizuri kwa ustawi ndivyo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
"....CCM inawategemea ninyi vijana kukisemea na kuwalinda viongozi wake pasipo kubagua . Mkisimama kwenye msingi huo daima mtaendelea kufaidi fursa zaidi na zaidi." "....kaweni viongozi wa watu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Udikteta si mzuri. Lakini demokrasia inayotokana na katiba lege lege nayo ni hatari. Kwa kawaida, dikteta hapingwi kirahisi nchini mwake. Ni ama watu wake wampende, hata kama ni kwa unafiki, au...
0 Reactions
1 Replies
521 Views
Asalam. Dini ina umuhimu sana katika maisha ya Tawala za Kidunia. Dini ni nyenzo muhimu ya ama kujitambua ama kuwa kutazama mambo katika mlengo flani Kwa Tanzania, Waislam wanajiona nduguzao ni...
1 Reactions
2 Replies
454 Views
Kama tuna wabunge lukuki waliopata ubunge kwa kigezo cha kujua kusoma na kuandika, sis kama raia tunategemea nin juu ya hawa wabunge, ni sawa na kipofu kumuongoza njia anayeona. Unaona kabisa...
0 Reactions
1 Replies
449 Views
Maneno haya yamekuwa yakisikika mara Kwa mara kunapokuwa na msukosuko wa maneno kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Watanganyika huwa hawaamini lakini Wazanzibar huwa wanakomaa na hoja...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Africa ndiyo bara linaloongoza kwa kuwa na maajabu mengi yasiyo na tija. Ni bara ambalo linaamua kumchagua binadamu mmoja kumfanya awe mungu, jambazi la kuheshimika, tapeli, muuaji na fisadi...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninaomba mawazo yenu hili neno ninaona litakuja kufanana na KILIMO KWANZA AWAMU YA NNE.
0 Reactions
1 Replies
468 Views
Afrika ni ara zuri. Limebarikiwa rasimali kede kede, lakini haziwanufaishi wananchi wake. Afrika ni bara kubwa. Lina mchango mkubwa sana kwa mataifa mengi ya Magharibi, hasa katika suala zima la...
0 Reactions
5 Replies
498 Views
Moja kati ya masuala ambayo yamezoeleka kusumbua na kuleta tafrani katika jamii ya Watanzania ni uhaba wa Sukari ambao umekuwa ukitokea mara nyingi tu katika miaka iliyopita. Katika kuhakikisha...
1 Reactions
5 Replies
957 Views
Ndugu zangu nimeona nami nianzishe huu uzi ili tusaidiane kuwaza na kusafiri pamoja. Hoja yangu inaanzia kwenye hili jambo la Bandari na huu uwekezaji wenye utata. Mosi: nadhani kama kuna watu...
1 Reactions
0 Replies
498 Views
Zitto Kabwe KC wa ACT Wazalendo na alikuwa Mwenyekiti wa Kamati muhimu sana ya Bunge PAC amesema kwa mara ya kwanza ndio Mkataba umepelekwa bungeni huu wa DP World lakini haikuwahi kutokea kwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mara zote yule anayeaminiwa na kutumainiwa ndio huwa Msaliti na hii ilianza kwa Lucifer kusaliti kwa kutamani Kiti cha Enzi aketipo Mungu wa mbinguni Natoa tu angalizo kwa Viongozi wetu kwani...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
JK AMPONGEZA RAIS SAMIA MAANDALIZI UZINDUZI PROGRAMU YA UWEKEZAJI SEKTA YA MAJI TANZANIA 2024-2030 Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada maana nimevurugwa. Kulingana na mkwamo wa uongozi uliopo madarakani na msimamo wake wa kuziba masikio ili kutosikiliza maoni ya Raia wake (mimi pia nikiwemo), ninaomba...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom