Mimi sio muumini wa katiba mpya bali utekelezaji

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Mimi sikubaliani na wanasiasa wanaotaka kutuyumbisha kwa kutaka kutengeneza katiba mpya huu ni usanii, upuuzi na ufujaji wa mapato.

Tujikite kwenye katiba iliyopo tuboreshe maisha ya Watanzania.

Watanzania wanataka maji,elimu,afya na fedha mfukoni ...baasi haya mingine ni indoctrination ya walami tu.
let us command and let all the politicians understand our true demands.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Ni kama Kenya, inasifiwa sana kuwa ina Katiba nzuri kati ya nchi zenye katiba nzuri Africa, lakini kila siku ni vurugu tu watu wapo barabarani na maisha ni magumu tu! Hata hapa itakuwa hovyo hivyo tuu!
 
Mbona hata nchi zenye katiba inayoruhusu rais mteule kupingwa mahakamani kama Kenya, Zimbabwe na nchi nyingi tu za kiafrika anayeoingwa bado anarudi kuwa rais! Sasa hiyo katiba inakuwa imesolve nini?
 
Mimi sikubaliani na wanasiasa wanaotaka kutuyumbisha kwa kutaka kutengeneza katiba mpya.huu ni usanii,upuuzi na ufujaji wa mapato.
Tujikite kwenye katiba iliyopo tuboreshe maisha ya watanzania.
Watanzania wanataka maji,elimu,afya na fedha mfukoni ...baasi haya mingine ni indoctrination ya walami tu.
let us command and let all the politicians understand our true demands.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Katiba iliyopo haijaanza kutumika jana.Wamekuwepo viongozi na kupita.Mbona haikupigiwa kelele kiasi tukisikiacho leo?Kunani?Jana si leo.
 
Kwani huwezi kuandika mawazo yako bira kutumia lugha ngumu?.
Hakuna lugha ngumu hapo hapo.

Kwa nyakati tofauti Magufuli na Ndugai walisema kwa midomo yao wao ni vichaa.

Antony Diallo mwanaccm mwenzao pia alisema kuna kiongozi alikuwa na record pale Mirembe ila alishangaa alipewa ofisi kubwa nchini , hakuwahi kumtaja ni nani haswa.

Sasa je we unaona ni sawa nchi kuongozwa na vichaa kwenye mihimili 2 kati ya 3?
 
Mbona hata nchi zenye katiba inayoruhusu rais mteule kupingwa mahakamani kama Kenya, Zimbabwe na nchi nyingi tu za kiafrika anayeoingwa bado anarudi kuwa rais! Sasa hiyo katiba inakuwa imesolve nini?
Kenya unailinganisha na Tanzania?

Wewe hukuona Supreme court ilitoa ruling mshindi ni nani na kesi ilikuwa inaruka mubashara au hukuwa mfuatiliaji?

Mahakama za Kenya zilifutilia mbali hata BBI iliyokuwa imeazishwa kinyume na sheria na kupigiwa upatu na rais aliyekuwepo madarakani hiyo inadhihirisha mahakama zilivyo huru.

Sasa kwa serikali hii ambayo hata kesi zinazobeba maslahi ya umma wanazuia watu kurecord au matangazo kuwa mubashara unafikiri nini kitatokea?
 
JPM alisema wazi kuwa, katiba sio kipaumbele chake. Wote tunajua kazi mzuri aliyoifanya
 
Back
Top Bottom