Mkataba wa Bandari ndiyo utakuwa msumari wa mwisho CCM

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
381
764
Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa.

Kwa jinsi mambo yanavyokwenda mkataba wa bandari ndo utakuwa msumari wa mwisho kwa CCM 2025.

CCM inatakiwa ijitathmini na ichukue hatua za haraka kusahihisha mapungufu yote ya suala la bandari.
 
Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda mkataba wa bandari ndo utakuwa msumari wa mwisho kwa CCM 2025. CCM inatakiwa ijitathmini na ichukue hatua za haraka kusahihisha mapungufu yote ya suala la bandari.
Hili la Nchi kuuzwa raia weng mitaani story ni hiyo, kama ni sumu kweli imetapakaa!! Ukichanganya na ule waraka unaosomwa kila jpili mpaka kweny vigango mtaan mh 🤔!!
 
Na kiukweli,wakisema huo mkataba waupige chini.
Wananchi watasema kwahiyo walikuwa wanauza kweli kwa their own interests,means vingi wameuza kweli..so ni doa juu ya doa.
 
Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa.

Kwa jinsi mambo yanavyokwenda mkataba wa bandari ndo utakuwa msumari wa mwisho kwa CCM 2025.

CCM inatakiwa ijitathmini na ichukue hatua za haraka kusahihisha mapungufu yote ya suala la bandari.
Kwani uongo? Awamu hii rais ni mpigaji wala hana uchungu na nchi anayoongoza. Wazalendo wa kweli wanajitahidi kumzuia asiuze nchi lakini bado anahangaika kupata wateja. Tumeona ile orodha bila shaka ni sahihi ambapo inaonekana ni wa saba kwa utajiri kwa marais 10 matajiri sana afrika. Sio jambo la kupuuza hilo. Vinginevyo ajitokeze akanushe kwa hoja. Kosa lake ni iweje miaka hata mitatu haijaisha kawa na mali kiasi cha dola bil 4.7. kaingia mikataba mwendokasi 30 dubai huu wa bandari ndio tumeshituka. Mingine inatakiwa iwekwe wazi kama hatukuona vituko.
 
nI AGENDA KUBWA SANAAAAAAA. wATU WANAFURA MNO
 
Hili la Nchi kuuzwa raia weng mitaani story ni hiyo, kama ni sumu kweli imetapakaa!! Ukichanganya na ule waraka unaosomwa kila jpili mpaka kweny vigango mtaan mh !!
Ila ccm watamsifia kuwa ,mama anafanya kanzi nzuri , hivi nauliza sa100 NI KUTU GANI KILIMPELEKA DUBAI NA KULETA HII TAHRUKI hadi ma ccm yanahangaika kama yamemwagiwa washawasha
 
Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa.

Kwa jinsi mambo yanavyokwenda mkataba wa bandari ndo utakuwa msumari wa mwisho kwa CCM 2025.

CCM inatakiwa ijitathmini na ichukue hatua za haraka kusahihisha mapungufu yote ya suala la bandari.
CCM bila kuweka wazi hiyo mikataba mingine 30, hata kura hazitaibika!!
 
Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa.

Kwa jinsi mambo yanavyokwenda mkataba wa bandari ndo utakuwa msumari wa mwisho kwa CCM 2025.

CCM inatakiwa ijitathmini na ichukue hatua za haraka kusahihisha mapungufu yote ya suala la bandari.
tangu lini uliambiwa ccm ina masikio?
 
Kwani uongo? Awamu hii rais ni mpigaji wala hana uchungu na nchi anayoongoza. Wazalendo wa kweli wanajitahidi kumzuia asiuze nchi lakini bado anahangaika kupata wateja. Tumeona ile orodha bila shaka ni sahihi ambapo inaonekana ni wa saba kwa utajiri kwa marais 10 matajiri sana afrika. Sio jambo la kupuuza hilo. Vinginevyo ajitokeze akanushe kwa hoja. Kosa lake ni iweje miaka hata mitatu haijaisha kawa na mali kiasi cha dola bil 4.7. kaingia mikataba mwendokasi 30 dubai huu wa bandari ndio tumeshituka. Mingine inatakiwa iwekwe wazi kama hatukuona vituko.
Hili la Samia kuwa ni Rais wa 7 kwa utajiri linafikirisha sana. Anafanya biashara gani mpaka kuwa na utajiri wa dola bilioni 4.7?
 
Samia anaamini upepo wa bandar umekata sasa wapo kwenye katiba.

Anasahu ni vitu vinaenda pmj
 
Kila kukicha, kila mahali wapinzani hasa CHADEMA wanatembea na ajenda hii ya bandari. Wamemwaga sumu na asilimia kubwa ya wananchi wanaamini kuwa nchi imeuzwa.

Kwa jinsi mambo yanavyokwenda mkataba wa bandari ndo utakuwa msumari wa mwisho kwa CCM 2025.

CCM inatakiwa ijitathmini na ichukue hatua za haraka kusahihisha mapungufu yote ya suala la bandari.
Na bunge la mchongo amabalo halikutokana ridhaa la wananchi wa eneo husika bunge la hovyo kuwahi kutokea
 
Back
Top Bottom