Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

HANGAYA THE CHIEF

JF-Expert Member
Sep 10, 2021
329
947
UTANGULIZI:

Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria kumshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi na kipumbavu namna ile.

Ni mkataba unaotukanisha taalum ya sheria, umedhalilisha wasomi wote wa kisheria nchini, na kutukanisha taifa lote, maana ni mkataba unaotembea kwenye mitandao ya kijamii na utabaki kumbukumbuku kwa vizazi vyote (tunachekwa na jumuia za wasomi wenzetu kuwa hatuwezi kulisaidia taifa letu), na itabaki kuwa kumbukumbu kuwa Rais wa Tz awamu ya 6 aliwaingia kwenye mkataba wa kuuza nchi rejareja.

Kwa kifupi achilia mbali L.L.D’s, LLM’s, LLB’s za sheria, hata mtu aliyesoma certificate ya sheria anaweza ona ombwe (tundu) kubwa sana, lakini zaidi sana hata mwenye uwelewa wa kingereza hata cha mitaani hawezi kupitisha vitu tata kama vile tena vifanyike ikulu sehemu takatifu (in nyerere voice). Kiufupi ni zarau, kebehi, utumwa na ushenzi ambao waarabu wametufanyia sisi Watanganyika.

Utata unaanzia hapa:

Kwenye mkataba wahusika (parties), wanachokusudia ndio kinawekwa kwenye maandishi, na si vinginavyo? Kama ni kwa ajili ya maendeleo ya taifa kweli kama inavyoelezwa;

  • Kwa nini wenzetu wa Zanzibar hawapo? Japokuwa suala la bandari ni la Muungano, soma ibara ya 4 na nyongeza ya kwanza, kipengele cha 11
  • Kwa nini inahusu bandari zote za Tanganyika?
  • Kwa nini waliohusika wote, katika mchakato huu wote wa uuzwaji , yaani aliyeidhinisha ni Rais JMT (mzanzibar), Waziri (MZanzibar), katibu mkuu (Mzanzibari), Mwanasheria Mkuu wao wa muda aliyehusika, Johari Hamza (Mzanzibari)
  • Kwa nini hauna muda maalum?
  • Kwa nini Tumeingia mkataba wa nchi bila Idhini ya nchi hiyo? Aliyetoa instrument ya kuingia mkataba na Tanzania, hajulikani cheo chake, hajulikani ni nani na ana uhusiano gani na Jumuia za Falme za Kiarabu.
  • Kwa nini Unagusa Maingilio ya lango kuu ya usalama ya nchi yetu (bandari)? Na hakuna tahadhari zilizowekwa.
  • Kwanini wanatumia propaganda nyingi, ikiwa pamoja na kuhonga vyombo vya Habari, kuandaa maandamano, kuwalipa watu pesa ili mchakato huu ukamilike?, nimeambiwa kuna online media ipo njiani kufungiwa inawapa watanzania mud asana, hata yule bibie aliyepo marekani alishadungwa asiongelee vibaya dp world.

  • Mara zote majibu mepesi kwa maswali mazito
  • Tutaongeza ajira, mkataba huu utazalisha ajira ( je huu ndio ubinafishaji wa kwanza katika taifa letu, loliondo imeongeza ajira kiasi gani?, madini yameongeza ajira kiasi gani?, gesi Mtwara imeongeza ajira kiasi gani?
  • Mapato yataongezeka, sasa ivi mapato ni madogo sana (tulishauza karibia kila kitu katika nchi, hivi leo hatuna tozo?, mahospitalini madawa yamejaa?, barabara zote zinapitika?, kiufupi bado tuna safari ndefu)
  • Kuna udini kwa sababu mama ni muislamu, (kwani mama ni Sheikh? Au Ikulu ni Msikiti? Au kuna interest ipi ya waislamu mama anailinda?, au anatangaza Quran ikulu? Kwa kifupi wanao waleta majibu haya, ni kama wanawaambia wakristo subirini wakati wenu mkiwa na Rais Mkristo.
  • Wanaopinga bandari ni majizi hayataki mabadiliko. (Je viongozi wa dini mliowakusanya kwenye mdahalo juzi ni majizi? Huku ni kuwakosea Wananchi wanayoitakia mema nchi yao.
  • Hatuna mashine za kisasa? Je serikali ilishajaribu kuweka mashine hizo, au ni mali ya watu wa Dubai tu?
  • Wapinzani wanahangaika mama anaupiga mwingi, (nchi hii ni ya CCM na CHADEMA, ACT WAZALENDO, CUF, na vyama vinginevyo?)
  • Na mengine kadha wa kadha, yanayofanania na hayo.
Nini kimejificha kwenye nyuma ya DP world?

Kuna aina mbili, tatu za makubaliano kwenye mkataba wowote,
  • Kila upande upate (win-win situation)
  • Upande mmoja upate na mwingine ukose (win-loose situation)
Je, sisi kama Tanganyika? Tuko upande gani kati ya pande hizo tajwa mbili?

Tafakuri:

Ukiangalia mkataba wa kipuuzi wa DP world au (Manispaa ya Dubai) na JMT, umetokana na ziara ya Rais wa JMT kwenye maonyesho ya sabasaba ya Dubai (Dubai Expo 2020) haya sio maneno yangu ni maneno yanayojitokeza kwenye utangulizi (preamble) ya mkataba husika, ndio zao la mikataba hii ilikotokea,

nini maana yake? Hakukuwa na due diligence (study yakutosha) kuingia kwenye mikataba huu, ni mtu mmoja alikwenda shoping dubai akaona inafaa kuingiza nchi kwenye mkataba akasaini. Ndio maana hata wabunge walikwenda Dubai kuhalalisha kilichoharamishwa mwaka mmoja baadae, yaani tangu tarehe, 28 February, 2022, kwa maana nyingine ni vizuri kuweka rekodi vizuri kuwa kilichofanyika bungeni ni kiini macho cha kukabidhi ardhi, bandari yetu kwa mwarabu, ambayo tayari ilikwisha tolekwa na Mtukufu sana Mfalme Hangaya.

Swali nini kimejificha nyuma ya Dubai?

Nitaendelea.
 
Hivi ni kina nani walimpa jina la Chifu ? kwa elimu yangu ya primary na secondari baadhi ya machifu ukiacha (mangungo wa Msovero) walikuwa na uchungu sana na ardhi yao, chifu mkwawa, chifu mirambo walipigania ardhi kwa jasho na damu dhidi ya wakoloni, vipi kuhusu huyu chifu mnamwita nani vile,,,,,,,? nahisi ni wakati sasa walompa hicho cheo wamvue,, hiyo ni aibu kwa heshima ya machifu
 
Baadhi ya wapiga debe....jpeg

Baadhi ya wapiga debe wa DP world wakiwa Dubai...​
 
UTANGULIZI:

Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria kumshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi na kipumbavu namna ile.

Ni mkataba unaotukanisha taalum ya sheria, umedhalilisha wasomi wote wa kisheria nchini, na kutukanisha taifa lote, maana ni mkataba unaotembea kwenye mitandao ya kijamii na utabaki kumbukumbuku kwa vizazi vyote (tunachekwa na jumuia za wasomi wenzetu kuwa hatuwezi kulisaidia taifa letu), na itabaki kuwa kumbukumbu kuwa Rais wa Tz awamu ya 6 aliwaingia kwenye mkataba wa kuuza nchi rejareja.

Kwa kifupi achilia mbali L.L.D’s, LLM’s, LLB’s za sheria, hata mtu aliyesoma certificate ya sheria anaweza ona ombwe (tundu) kubwa sana, lakini zaidi sana hata mwenye uwelewa wa kingereza hata cha mitaani hawezi kupitisha vitu tata kama vile tena vifanyike ikulu sehemu takatifu (in nyerere voice). Kiufupi ni zarau, kebehi, utumwa na ushenzi ambao waarabu wametufanyia sisi Watanganyika.

Utata unaanzia hapa:

Kwenye mkataba wahusika (parties), wanachokusudia ndio kinawekwa kwenye maandishi, na si vinginavyo? Kama ni kwa ajili ya maendeleo ya taifa kweli kama inavyoelezwa;

  • Kwa nini wenzetu wa Zanzibar hawapo? Japokuwa suala la bandari ni la Muungano, soma ibara ya 4 na nyongeza ya kwanza, kipengele cha 11
  • Kwa nini inahusu bandari zote za Tanganyika?
  • Kwa nini waliohusika wote, katika mchakato huu wote wa uuzwaji , yaani aliyeidhinisha ni Rais JMT (mzanzibar), Waziri (MZanzibar), katibu mkuu (Mzanzibari), Mwanasheria Mkuu wao wa muda aliyehusika, Johari Hamza (Mzanzibari)
  • Kwa nini hauna muda maalum?
  • Kwa nini Tumeingia mkataba wa nchi bila Idhini ya nchi hiyo? Aliyetoa instrument ya kuingia mkataba na Tanzania, hajulikani cheo chake, hajulikani ni nani na ana uhusiano gani na Jumuia za Falme za Kiarabu.
  • Kwa nini Unagusa Maingilio ya lango kuu ya usalama ya nchi yetu (bandari)? Na hakuna tahadhari zilizowekwa.
  • Kwanini wanatumia propaganda nyingi, ikiwa pamoja na kuhonga vyombo vya Habari, kuandaa maandamano, kuwalipa watu pesa ili mchakato huu ukamilike?, nimeambiwa kuna online media ipo njiani kufungiwa inawapa watanzania mud asana, hata yule bibie aliyepo marekani alishadungwa asiongelee vibaya dp world.

  • Mara zote majibu mepesi kwa maswali mazito
  • Tutaongeza ajira, mkataba huu utazalisha ajira ( je huu ndio ubinafishaji wa kwanza katika taifa letu, loliondo imeongeza ajira kiasi gani?, madini yameongeza ajira kiasi gani?, gesi Mtwara imeongeza ajira kiasi gani?
  • Mapato yataongezeka, sasa ivi mapato ni madogo sana (tulishauza karibia kila kitu katika nchi, hivi leo hatuna tozo?, mahospitalini madawa yamejaa?, barabara zote zinapitika?, kiufupi bado tuna safari ndefu)
  • Kuna udini kwa sababu mama ni muislamu, (kwani mama ni Sheikh? Au Ikulu ni Msikiti? Au kuna interest ipi ya waislamu mama anailinda?, au anatangaza Quran ikulu? Kwa kifupi wanao waleta majibu haya, ni kama wanawaambia wakristo subirini wakati wenu mkiwa na Rais Mkristo.
  • Wanaopinga bandari ni majizi hayataki mabadiliko. (Je viongozi wa dini mliowakusanya kwenye mdahalo juzi ni majizi? Huku ni kuwakosea Wananchi wanayoitakia mema nchi yao.
  • Hatuna mashine za kisasa? Je serikali ilishajaribu kuweka mashine hizo, au ni mali ya watu wa Dubai tu?
  • Wapinzani wanahangaika mama anaupiga mwingi, (nchi hii ni ya CCM na CHADEMA, ACT WAZALENDO, CUF, na vyama vinginevyo?)
  • Na mengine kadha wa kadha, yanayofanania na hayo.
Nini kimejificha kwenye nyuma ya DP world?

Kuna aina mbili, tatu za makubaliano kwenye mkataba wowote,
  • Kila upande upate (win-win situation)
  • Upande mmoja upate na mwingine ukose (win-loose situation)
Je, sisi kama Tanganyika? Tuko upande gani kati ya pande hizo tajwa mbili?

Tafakuri:

Ukiangalia mkataba wa kipuuzi wa DP world au (Manispaa ya Dubai) na JMT, umetokana na ziara ya Rais wa JMT kwenye maonyesho ya sabasaba ya Dubai (Dubai Expo 2020) haya sio maneno yangu ni maneno yanayojitokeza kwenye utangulizi (preamble) ya mkataba husika, ndio zao la mikataba hii ilikotokea,

nini maana yake? Hakukuwa na due diligence (study yakutosha) kuingia kwenye mikataba huu, ni mtu mmoja alikwenda shoping dubai akaona inafaa kuingiza nchi kwenye mkataba akasaini. Ndio maana hata wabunge walikwenda Dubai kuhalalisha kilichoharamishwa mwaka mmoja baadae, yaani tangu tarehe, 28 February, 2022, kwa maana nyingine ni vizuri kuweka rekodi vizuri kuwa kilichofanyika bungeni ni kiini macho cha kukabidhi ardhi, bandari yetu kwa mwarabu, ambayo tayari ilikwisha tolekwa na Mtukufu sana Mfalme Hangaya.

Swali nini kimejificha nyuma ya Dubai?

Nitaendelea.
moderator umeharivu title yangu kabisa, pls pls ebu edit tena, isomeke vizuri
 
Tazama atakuja rais kutoka upande wa pili nae atatawala nusu na robo wakati baada ya hapo Wana wa nchi watamuondoa na kelele na shangwe zitatawala nchi yote nao masulia na wapambe wao wataungana na Wana wa nchi,kwa mshangao mkubwa wapakwa mafita watauliza kwani sio nyinyi mliokuwa mnakula na kusaza pamaja nasi? Nao watajibu ilitubidi tuimbe na kugalagala uchi macho Penu ili tupate kushinda sisi na Wana wetu Ila msiba ulikuwa mioyoni mwetu daima.
 
Naona wezi, wanufaika wa wizi na wapambe wa wezi wa bandarini mmekomaa kweli kweli kupinga uwekezaji bandarini

Bora mkae kwa kutulia tu, hili lilishapita bandari ya DSM anapewa mwarabu.

Tafuteni kazi nyingine ya kufanya.
 
Ninyi watanzania si mliwekwa kusimamia bandari mkawa mijizi? Basi na rais naye kaamua kuchukua hatua hiyo.
 
Naona wezi, wanufaika wa wizi na wapambe wa wezi wa bandarini mmekomaa kweli kweli kupinga uwekezaji bandarini

Bora make kwa kutulia tu, hili lilishapita bandari ya DSM anapewa mwarabu.

Tafuteni kazi nyingine ya kufanya.
ni rasilimali zetu na wajukuu zetu, ninyi wanzenji mmepewa madaraka kidogo mnashirikiana kuuza rasilimali zetu haraka haraka, ukiona mkataba wa liliondo si ndio utalia
 
UTANGULIZI:

Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria kumshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi na kipumbavu namna ile.

Ni mkataba unaotukanisha taalum ya sheria, umedhalilisha wasomi wote wa kisheria nchini, na kutukanisha taifa lote, maana ni mkataba unaotembea kwenye mitandao ya kijamii na utabaki kumbukumbuku kwa vizazi vyote (tunachekwa na jumuia za wasomi wenzetu kuwa hatuwezi kulisaidia taifa letu), na itabaki kuwa kumbukumbu kuwa Rais wa Tz awamu ya 6 aliwaingia kwenye mkataba wa kuuza nchi rejareja.

Kwa kifupi achilia mbali L.L.D’s, LLM’s, LLB’s za sheria, hata mtu aliyesoma certificate ya sheria anaweza ona ombwe (tundu) kubwa sana, lakini zaidi sana hata mwenye uwelewa wa kingereza hata cha mitaani hawezi kupitisha vitu tata kama vile tena vifanyike ikulu sehemu takatifu (in nyerere voice). Kiufupi ni zarau, kebehi, utumwa na ushenzi ambao waarabu wametufanyia sisi Watanganyika.

Utata unaanzia hapa:

Kwenye mkataba wahusika (parties), wanachokusudia ndio kinawekwa kwenye maandishi, na si vinginavyo? Kama ni kwa ajili ya maendeleo ya taifa kweli kama inavyoelezwa;

  • Kwa nini wenzetu wa Zanzibar hawapo? Japokuwa suala la bandari ni la Muungano, soma ibara ya 4 na nyongeza ya kwanza, kipengele cha 11
  • Kwa nini inahusu bandari zote za Tanganyika?
  • Kwa nini waliohusika wote, katika mchakato huu wote wa uuzwaji , yaani aliyeidhinisha ni Rais JMT (mzanzibar), Waziri (MZanzibar), katibu mkuu (Mzanzibari), Mwanasheria Mkuu wao wa muda aliyehusika, Johari Hamza (Mzanzibari)
  • Kwa nini hauna muda maalum?
  • Kwa nini Tumeingia mkataba wa nchi bila Idhini ya nchi hiyo? Aliyetoa instrument ya kuingia mkataba na Tanzania, hajulikani cheo chake, hajulikani ni nani na ana uhusiano gani na Jumuia za Falme za Kiarabu.
  • Kwa nini Unagusa Maingilio ya lango kuu ya usalama ya nchi yetu (bandari)? Na hakuna tahadhari zilizowekwa.
  • Kwanini wanatumia propaganda nyingi, ikiwa pamoja na kuhonga vyombo vya Habari, kuandaa maandamano, kuwalipa watu pesa ili mchakato huu ukamilike?, nimeambiwa kuna online media ipo njiani kufungiwa inawapa watanzania mud asana, hata yule bibie aliyepo marekani alishadungwa asiongelee vibaya dp world.

  • Mara zote majibu mepesi kwa maswali mazito
  • Tutaongeza ajira, mkataba huu utazalisha ajira ( je huu ndio ubinafishaji wa kwanza katika taifa letu, loliondo imeongeza ajira kiasi gani?, madini yameongeza ajira kiasi gani?, gesi Mtwara imeongeza ajira kiasi gani?
  • Mapato yataongezeka, sasa ivi mapato ni madogo sana (tulishauza karibia kila kitu katika nchi, hivi leo hatuna tozo?, mahospitalini madawa yamejaa?, barabara zote zinapitika?, kiufupi bado tuna safari ndefu)
  • Kuna udini kwa sababu mama ni muislamu, (kwani mama ni Sheikh? Au Ikulu ni Msikiti? Au kuna interest ipi ya waislamu mama anailinda?, au anatangaza Quran ikulu? Kwa kifupi wanao waleta majibu haya, ni kama wanawaambia wakristo subirini wakati wenu mkiwa na Rais Mkristo.
  • Wanaopinga bandari ni majizi hayataki mabadiliko. (Je viongozi wa dini mliowakusanya kwenye mdahalo juzi ni majizi? Huku ni kuwakosea Wananchi wanayoitakia mema nchi yao.
  • Hatuna mashine za kisasa? Je serikali ilishajaribu kuweka mashine hizo, au ni mali ya watu wa Dubai tu?
  • Wapinzani wanahangaika mama anaupiga mwingi, (nchi hii ni ya CCM na CHADEMA, ACT WAZALENDO, CUF, na vyama vinginevyo?)
  • Na mengine kadha wa kadha, yanayofanania na hayo.
Nini kimejificha kwenye nyuma ya DP world?

Kuna aina mbili, tatu za makubaliano kwenye mkataba wowote,
  • Kila upande upate (win-win situation)
  • Upande mmoja upate na mwingine ukose (win-loose situation)
Je, sisi kama Tanganyika? Tuko upande gani kati ya pande hizo tajwa mbili?

Tafakuri:

Ukiangalia mkataba wa kipuuzi wa DP world au (Manispaa ya Dubai) na JMT, umetokana na ziara ya Rais wa JMT kwenye maonyesho ya sabasaba ya Dubai (Dubai Expo 2020) haya sio maneno yangu ni maneno yanayojitokeza kwenye utangulizi (preamble) ya mkataba husika, ndio zao la mikataba hii ilikotokea,

nini maana yake? Hakukuwa na due diligence (study yakutosha) kuingia kwenye mikataba huu, ni mtu mmoja alikwenda shoping dubai akaona inafaa kuingiza nchi kwenye mkataba akasaini. Ndio maana hata wabunge walikwenda Dubai kuhalalisha kilichoharamishwa mwaka mmoja baadae, yaani tangu tarehe, 28 February, 2022, kwa maana nyingine ni vizuri kuweka rekodi vizuri kuwa kilichofanyika bungeni ni kiini macho cha kukabidhi ardhi, bandari yetu kwa mwarabu, ambayo tayari ilikwisha tolekwa na Mtukufu sana Mfalme Hangaya.

Swali nini kimejificha nyuma ya Dubai?

Nitaendelea.
Sa100, Kikwete, rastam Aziz... Ndio wanufaika
 
Back
Top Bottom